bayport walisha haribu reputation yao from the begining kwa sababu mbalimbali ambazo sitozitaja hapa. hivi leo hii ni kazi ngumu kumshawishi mtu kwenda kukopa bayport. unamwajiri darasa la saba anakuwa loan officer unategemea nn? then hiyo kazi ni kwa kamishen hiyo 100,000 uliyoisema ina maelezo yake ili upate hiyo hebu soma vizur hilo gazet uweke taarifa inayoeleweka.