Bayern Munich yatwaa Kombe Ujerumani

Bayern Munich yatwaa Kombe Ujerumani

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Timu ya soka ya Bayern Munich ya Ujerumani,leo imetwaa rasmi kombe la ligi kuu ya nchi hiyo huku zikibaki mechi sita ligi hiyo kuhitimishwa. Hiyo inafuatia ushindi wa leo wa 1-0 dhidi ya Eintracht Frankfurt. Kwa ushindi wa leo,Munich imefikisha alama 75,20 zaidi ya Borussia Dotmund inayokamata nafasi ya pili kwa alama 55. Hata kama Munich ikifungwa mechi zote sita zilizobaki,bado hakutakuwa na timu inakayofikisha alama hizo 75. Hongera Munich kwa kuwa bingwa mpya wa kwanza ulaya kwa msimu huu wa ligi za Ulaya!
 
Soon Man Utd tunatangaza ubingwa pia.
 
Hapo ndio utapojua Pep Guardiola anapenda sana mteremko...nini cha maana atakachofanya for the Bavarian....
 
Kocha wa sasa Bayern Munich,Juup Heynckeness ndie alieipa Real Madrid UCL 1998(Pedrag Mijatovic vs Juventus final dk 75)baada ya kukaa takriban miaka 32 walipochukua kipindi kirefu nyuma miaka 5 mfululizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom