Bayern, Liverpool, Madrid na Roma kukipiga nusu fainali ya UEFA, nani ana nafasi kubwa kuchukua Ubingwa?

Real wamebebwa kudadeki, alaf jitu linafunga goli LA penalt linashangilia linavua shati. Refa ni bure liver chukueni hiyo ndoo

Alafu jamaa atapewa ballon kama masihara hivi, na hakuna cha ajabu alichoonyesha...yani Ashukuru Mungu timu inambeba sana huyu mviziaji. Otherwise angelikuwa anashindia golini anapiga story na kipa. Nyambaff kabisa!
 
Madrid hawatokuwa kama jana ktk nusu fainali,ile ni changamoto hawawezi kushinda kirahisi kila siku...nimjuavyo Zizu timu itakuja kivingine semi final
 
Alafu jamaa atapewa ballon kama masihara hivi, na hakuna cha ajabu alichoonyesha...yani Ashukuru Mungu timu inambeba sana huyu mviziaji. Otherwise angelikuwa anashindia golini anapiga story na kipa. Nyambaff kabisa!
Wewe mipira unahadithiwa hata hauanglii krosi iliyo zaa penalti ulipiga wewe nini
 
Amevizia magoli 120 yote? bas ana stahili kupewa Ballon dor
Atafute collection ya haya magoli 120 ndio atajua jamaa anavyovizia.
Raul, inzaghia na Nisteroooy na 'uviziaji' wao woote, hajafikii rekodi ya jamaa. Hawa 3 ukiwaita goal poachers au waviziaji naelewa, ila CR7 mi mnyama.
Anafunga goli zote.
 
Back
Top Bottom