Susan Lyimo,makamu mkt
Naomi kaihula, katibu mkuu
Subira naibu katibu mkuu
Mariam Msabaha makamu mkt Zbar....
Kimsingi hakuna wanachokifanya,na wanataka kugombea tena muwaulize wameifanyia nn BAWACHA mpaka wagombee tena?
nakuunga mkono kamanda! hawa wamama cjui wako wapi cjawahi kusikia wamama kwa nini... au shida zao ni hela alafu wanaangalia wenzao wanavyoteseka? ok tafakarini na kati yenu kuna watu wanatakiwa kugombea msitegemee sana viti vya huruma ni aibu ujasiri wenu uko wapi sasa?