MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
ukiweka maneno weka na picha ili usomeke vizuriJana umefanyika mkutano mkubwa wa Bavicha Taifa Urambo viwanja vya Tarafani, Mwenyekiti Bavicha Taifa alihutubia sambamba na makamanda kutoka Mbeya, Iringa, Kilimanjaro, Mara. Muitikio wa vijana, Wazee, Kinadada ulikuwa mkubwa sana, pia tukio lililoshtua wengi ni kupewa kadi ya uanachama aliyekuwa mfuasi mtiifu wa Sitta bwana Harbu, Hongera makamanda, Aluta Continua.
Mkuu mbona unatuletea stori zisizo na picha? Unawaangusha BAVICHA. mara sitta arudi jimboni mara fisadi sitta arudi jimboni, sijui BAVICHA waweka kambi kwa sitta. Naamin upo huko. Tunaomba uwe unaweka japo picha na live updates ili kuboresha habari. Unafanya kazi nzuri kutupa habari za huko.Jana umefanyika mkutano mkubwa wa Bavicha Taifa Urambo viwanja vya Tarafani, Mwenyekiti Bavicha Taifa alihutubia sambamba na makamanda kutoka Mbeya, Iringa, Kilimanjaro, Mara. Muitikio wa vijana, Wazee, Kinadada ulikuwa mkubwa sana, pia tukio lililoshtua wengi ni kupewa kadi ya uanachama aliyekuwa mfuasi mtiifu wa Sitta bwana Harbu, Hongera makamanda, Aluta Continua.