BAVICHA yakamata Nchi

BAVICHA yakamata Nchi

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Baraza la Vijana CHADEMA limejipambanua kama Baraza bora kabisa la vijana katika vyama vyote vya siasa hapa nchini.

Mwenyekiti wa BAVICHA Patrobass Katambi amelijenga Baraza hilo kama Taasisi imara kabisa tofauti na mtizamo wa baadhi ya watu siku za nyuma.

Ni takribani miezi miwili sasa viongozi wote wa BAVICHA wako mikoani na vijijini sehemu tofauti za nchi wakihamasisha operesheni yao ya BVR Shahada mkononi kuhamasisha watu kujiandikisha kupiga kura.

Kwa mfano kwa sasa Mwenyekiti wa Taifa Patrobass yuko mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki akifanya mikutano ya hadhara na ya ndani kuhamasisha zoezi hilo na ujenzi wa chama.

Makamu Mkiti Patrick Ole Sosopi akiwa na viongozi wengine wa baraza hilo wanaongoza hamasa kubwa mikoa ya Kanda ya kaskazini na mikutano yao imeitisha CCM

Katibu Mkuu Bavicha Julias Mwita na Katibu Mwenezi Edward Simbeye wanatikisa mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria huku idadi kubwa ya wananchi ikiwaunga mkono kote wanakopita.

Wanachama wengi wa CHADEMA wamepongeza kazi kubwa inayofanywa na BAVICHA kote nchini na ni urithi bora kabisa kutoka kwa viongozi mashuhuri nchini Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa.

Hongereni BAVICHA...Endelezeni mapambano!!

  • Hapa ni mikoa Mbalimbali Vijana wetu wa Bavicha wakiwa kwenye matukio. Bavicha wamekua tegemeo kubwa sana kwa vijana wa Tanzania na mpaka sasa hivi ndio Baraza bora la vijana kwenye vyama vya siasa
    paperclip.png
    Attached Thumbnails

    • paperclip.png
      Attached Thumbnails

Baraza la Vijana CHADEMA limejipambanua kama Baraza bora kabisa la vijana katika vyama vyote vya siasa hapa nchini.

Mwenyekiti wa BAVICHA Patrobass Katambi amelijenga Baraza hilo kama Taasisi imara kabisa tofauti na mtizamo wa baadhi ya watu siku za nyuma.

Ni takribani miezi miwili sasa viongozi wote wa BAVICHA wako mikoani na vijijini sehemu tofauti za nchi wakihamasisha operesheni yao ya BVR Shahada mkononi kuhamasisha watu kujiandikisha kupiga kura.

Kwa mfano kwa sasa Mwenyekiti wa Taifa Patrobass yuko mikoa ya Kanda ya Serengeti akifanya mikutano ya hadhara na ya ndani kuhamasisha zoezi hilo na ujenzi wa chama.

Makamu Mkiti Patrick Ole Sosopi akiwa na viongozi wengine wa baraza hilo wanaongoza hamasa kubwa mikoa ya Kanda ya kaskazini na mikutano yao imeitisha CCM

Katibu Mkuu Bavicha Julias Mwita na Katibu Mwenezi Edward Simbeye wanatikisa mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria huku idadi kubwa ya wananchi ikiwaunga mkono kote wanakopita.

Wanachama wengi wa CHADEMA wamepongeza kazi kubwa inayofanywa na BAVICHA kote nchini na ni urithi bora kabisa kutoka kwa viongozi mashuhuri nchini Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa.

Hongereni BAVICHA...Endelezeni mapambano!!
 
Ben Saanane is one and the only. Ameweza kubadili upepo ktk JF.
 
Vijana ndio nguzo ya taifa, vijana ndio dira vijana ndio mboni ya kisiasa ya chama chochote Bavicha kaza buti

Hakika Chadema ni chuo kwa vijana.Vijana wameiva mpaka raha!
 
Safii CDM songa mbele yale MaUvccm yanasaka hela kutoka kwa Wagombea maana ni kipindi cha mavuno kwao!!!JK Uvccm acheni Ukuwadi.
 
Mkuu Molemo usisahau shahada ya kupigia kura tummeibadilisha jina sie Ukawa, saa hivi tunaiita 'kichinjio'. Kichinjio cha kuichinjia CCM mnamo mwezi Oktoba, kwahiyo waambieni watanzania kabisa kila mtu ahakikishe ana kichinjio chake tayari kuichinja chinja CCM
 
kwa utafiti nilioufanya kwa muda mrefu sana ( miezi 36 ) BAVICHA ndio taasisi pekee ya vijana kwenye ukanda wa maziwa makuu inayofahamika kimataifa .
 
Molemo

mikononi mwa chadema kila kitu kipo salama na bora
 
Last edited by a moderator:
Siasa Zilizofanywa Na Chadema Miaka Mitano Hii Ni Siasa Zenyewe Hazijawai Kufanywa Na Chama Chochote Hapa Duniani, Kweli Chadema Ni Mpango Wa MUNGU
 
Back
Top Bottom