Bavicha wengi kutimkia ACT Wazalendo

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,984
1,405
Mnyukano wa chini kwa chini ndani ya cdm kati ya Bavicha na 4U movement inaelekea kuwapa ushindi vijana watiifu kwa Lowassa 4U movement chini ya Hemed Ally jambo litakalo sababisha wanazi wa Bavicha kukimbilia Act Wazalendo
 
Achana na hilo la CHADEMA vs ACT, mimi nimeshatabiri kwamba serikali ya awamu ya tano itakaa madarakani kwa awamu moja tu ya miaka mitano. Kwa sababu maisha yanazidi kuwa magumu kila uchao. Jana tumeambiwa madaktari wa hospitali za rufaa wamepunguzwa mishahara kwa 30%, juzi tuliona kupitia ITV taarifa kwamba mizigo imepungua huko kwenye bandari kavu hata waajiri wanafikiria kupunguza wafanyakazi. Huku mtaani nako hali ni mbaya hadi inafikia wananchi kuunga chumvi kwenye chai. Ni watanzania wachache sana wanaoipenda CCM hasa ni wale walionufaika kwa kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali pamoja na familia zao.
 
Baada ya bulembo kusema ccm kunatokota mgogoro naona kila uvccm kaja na propaganda yake kufunika ukweli uliopo ccm kwa sasa
 
WanaCCM wengi kuamia UDP baada ya mnyukano mkali kwa wale wanaccm wanaopinga Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM.
 
Achana na hilo la CHADEMA vs ACT, mimi nimeshatabiri kwamba serikali ya awamu ya tano itakaa madarakani kwa awamu moja tu ya miaka mitano. Kwa sababu maisha yanazidi kuwa magumu kila uchao. Jana tumeambiwa madaktari wa hospitali za rufaa wamepunguzwa mishahara kwa 30%, juzi tuliona kupitia ITV taarifa kwamba mizigo imepungua huko kwenye bandari kavu hata waajiri wanafikiria kupunguza wafanyakazi. Huku mtaani nako hali ni mbaya hadi inafikia wananchi kuunga chumvi kwenye chai. Ni watanzania wachache sana wanaoipenda CCM hasa ni wale walionufaika kwa kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali pamoja na familia zao.
Mliozoea mtelemko na wiziwizi lazima muone maisha magumu maana siku hizi upigaji unaenda unapungua.
 
Back
Top Bottom