BAVICHA Wazindua Matawi Mapya ya CHASO Leo

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
6,346
Reaction score
1,872
Baraza la vijana wa CHADEMA ( BAVICHA ) Leo wanatarajia kuzindua Matawi zaidi ya Matano,katika Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni.

Akizungumza asubuhi hii msemaji wa Baraza,ambae pia ni Mratibu wa Uhamasishaji BAVICHA Taifa Bw.Edward Simbeye amesema,uzinduzi wa Matawi hayo ni chachu kubwa kwao kama Viongozi wa BAVICHA kuendelea kuimarisha mshikamano wa kiutendaji baina yao na Wanafunzi wa Vyuo vikuu vyote nchini.

Matawi hayo yata zinduliwa na Katibu Mkuu wa BAVICHA Taifa JULIUS MWITA,shughuli ambayo inatajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya wanafunzi 800 kutoka vyuo tofauti Mkoani Dar es Salaama.

Msafara huo Katibu Mkuu wa BAVICHA ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa BAVICHA bara na Muweka hazina wa Baraza hilio Bi.Eveline Meena.
 
mmeishiwa sera nyinyi umebaki kutapatapa tu.
 
Bavicha nishidaa nyingine maccm ayapati kupumua Mungu endelea kupigani ukombozi watanzania
 
Tunawatakia kila la kheri nyie ndio viongozi watarajiwa.
 
Chadema ni mpango wa MUNGU ...
Hakuna msaliti atakesalia kushindana na huu mpango wa MUNGU.
 
Hii ndiyo Bavicha niitakayo..Hii ndiyo Chadema ya wananchi.
 
Safii sana Bavicha maana tumeyachoka majizi CCM
 
Baraza la vijana wa CHADEMA ( BAVICHA ) Leo wanatarajia kuzindua Matawi zaidi ya Matano,katika Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni.

Akizungumza asubuhi hii msemaji wa Baraza,ambae pia ni Mratibu wa Uhamasishaji BAVICHA Taifa Bw.Edward Simbeye amesema,uzinduzi wa Matawi hayo ni chachu kubwa kwao kama Viongozi wa BAVICHA kuendelea kuimarisha mshikamano wa kiutendaji baina yao na Wanafunzi wa Vyuo vikuu vyote nchini.

Matawi hayo yata zinduliwa na Katibu Mkuu wa BAVICHA Taifa JULIUS MWITA,shughuli ambayo inatajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya wanafunzi 800 kutoka vyuo tofauti Mkoani Dar es Salaama.

Msafara huo Katibu Mkuu wa BAVICHA ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa BAVICHA bara na Muweka hazina wa Baraza hilio Bi.Eveline Meena.

Asante sana kamanda Chademakwanza kwa taarifa Bavicha mwendo mdundo
 
Back
Top Bottom