Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Baraza la vijana wa CHADEMA (BAVICHA ) Wamezidi kupanua wigo mpana zaidi Kimataifa katika kuhakikisha inamkomboa kijana wa kitanzania Kifikra,ili kuwa na mawazo chanya zaidi katika kuipigania ya Mwananchi wa Kitanzania.
Akiongea kwaniaba ya vijana wa Chama cha CONCERVATIVE cha nchini Denmark Nichlessen Jensen,ambae ni Mwenyekiti wa vijana wa CONCERVATIVE nchini Denmark,amesema amefurahishwa na utendaji kazi wa BAVICHA na mfumo wa uongozi wa BAVICHA jambo ambalo ataenda kulifanyia kazi katika kuimarisha zaidi mfumo wa vijana ndani ya Chama chake.
Amesema Mikakati na mipango kazi walionayo BAVICHA ni muhimu ikafanyiwa kazi kwakuwa ndio,msingi pekee wa umoja na mshikamano baina ya BAVICHA na Vijana wengine nje ya mfumo wa BAVICHA.Katika kuhakikisha mnafanikiwa zaidi tutawapa ushirikiano wa kutosha pale mtakapo kwama ilikufikia malengo mlio jiwekea katika Jamii hasa msaada wa kuwasaidi vijana mijini na vijijini.
Kikao hicho kilifanyika Makao makuu ya Chama,ambapo pia Nichlessen aliongozana na Katibu wake Michell Sand.Kikao hicho kiliendeshwa na M/kiti wa BAVICHA Taifa PATROBAS KATAMBI ambapo pia kilihudhuriwa na baadhi ya Wadau wa BAWACHA na mjumbe wa Mkutano Mkuu Bi CATHERINE ilikupata uzoefu na kubadilishana mawazo.
Nasiku inayofuata Kikao kilifanyika MOROGORO kati ya Viongozi wa BAVICHA na CHASO pamoja na wageni katika Chuo kikuu cha Sokoine( SUA ).