BAVICHA Singida wamshukia Nape

Kamanda Mkuu Isango hongera sana kwa tamko zuri na makini. Niko pamoja na wewe na nakuunga mkono 100%
 
Yes! Nakukubali sana mpiganaji wangu Josephat Isango.
Ahsante BAVICHA-SINGIDA kwani Chama kinahitaji vijana wenzangu kama nyie na sio wale waasi.

Peoples power.

safi sana mpiganaji! Wataaibika mpaka point ya mwisho nape jr upo ? Umeipata?
 
Umeiandika hii ukiwa bar gani? Na ulishapiga kilimanjaro ngapi? Mana navokujua kwa ulevi....kwanini unapigana na kivuli wakati adui unamjua?
 
Tamko la kumpinga slaa lilitolewa na bavicha mwanza we isango kwa kujifanya kipofu unapambana na nape, huoni unajidhalilisha?
 
Isango kesho wahi mapema pale mtaa wa manhattan,kinondoni manyanya usaini posho yako,utachukua mara mbili ya siku zote.
 
Slaa aachie ngazi,aking'ang'ania tutaandamana kumng'oa - bavicha mwanza
 
nakukubali na falsafa zako Isango ujaliwe uzima kiongozi wetu hazina usikate tamaa wala usiogope songa mbele
 

wenye akili wanajibu kwa hoja,tamko la bavicha sgd halijajibu hoja za Nape. Zaidi ya kutoa lawama wkt ccm inaendelea kutekeleza ilani yake
 
Ikiwa kama hoja za Isango ndizo bora kuliko za Nape, basi huyo Isango anao washabiki wa kufanana naye na hao wanayo haki ya kuwa hivyo, na kwakuwa yeye ni bora kuliko wao na wamfuate kwani hatutakuwa tumepoteza kitu
Ndugu Lucas Casmir,
Ningependa kukufahamisha kuwa Nape hakuwahi hata mara moja kuishi na mzee Nnauye!!
Kwa hiyo hakuwahi kupata malezi ya huyo mzee iwe ya kijamii ama ya kiuongozi.
Kitu wasichokifahamu wengi ni kuwa kwa miaka yote tangu Nnape azaliwe ameishi na kulelewa na mama yake na baadaye na mjomba wake..Nina hakika utakuwa umeshtuka sana kupata hizi habari.
ukweli ni ukweli hata kama haufurahishi baadhi ya watu.
 
basi mama na mjomba wake wamemlea kijana vizuri katika maadili mema ya kiutu na kibinadam,hongera zao sana na mungu awabariki.....viva nape.....endelea kutupa tusioyajua watanzania..kadi mbili mtu mmoja
 
Hili ndio jukumu la viongozi wa vijana , kwani sisi wengine tunashangaa sana kuona hayo yanayoendelea kwenye baraza lenu na matamko husika

Safi sana BAVICHA Singida na Mwanza.Naendelea kushikilia msimamo wangu ule ule.Nitaunga mkono hatua kali za kisiasa na kinidhamu dhidi ya wasaliti.Tupige M4C ndani ya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…