BAVICHA ni Kijiwe, Si Taasisi!!

Hakika, BAVICHA ni Taasisi na chombo imara cha utendaji na matokeo mazuri kwa umma wa Tanzania na wala si kijiwe hivyo wapika majungu hawana nafasi mle.

Tunajivunia sana utendaji wa chombo hiki cha CDM. John Heche, DON'T waste your time on the side-shows; tunayo mambo mengi sana ya msingi kukamilisha kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu 2015 hivyo hatuna muda wa kupoteza kwa iddle-talks hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom