Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Baraza la vijana chadema mkoa wa mwanza limeshangazwa na kauli ya msajili wa vyama vya siasa nchini.
Mh rais jpm,jana alinukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akitamka kauli tata juu ya ufanyaji siasa nchini.
Kufuatia kauli hiyo ya kupiga marufuku siasa hadi 2020,
Msajili amemtetea na kuwambia wananchi kupitia vyombo vya habari kuwa rais alinukuliwa vibaya.
Kwa niaba ya baraza la vijana chadema mkoa wa mwanza bavicha......
Tunamtaka msajili aache kazi ya kujibu hoja zetu,wasemaji/msemaji wa rais kama siyo rais mwenyewe awachie kujibu maana ndoo wajibu wao na kazi yao kuu.
Ofisi ya msajili ni mlezi wa vyama vyote na angesaidia kama angeitaka ofisi ya ikulu itoe ufafanuzi na siyo kumsemea ràis.
Kuna baadhi ya mambo yanaenda kombo ukiwemo uchaguzi mkuu uliolalamikiwa kupitia rafu mbalimbali za ccm ........Msajili hakuwai kusema chochote.........
Baraza la vijana mkoa wa mwanza linalaani vikali utetezi uliotolewa na msajili nchini na tunamtaka afikieie upya jambo hilo namna ya kulisahihisha...........Na akijisahihisha awaombe ladhi watanzania kwa kusahau majukumu yake au vinginevyo.
Imetolewa na joseph michael
M/kiti bavicha mkoa wa mwanza