BAVICHA kuzungumza na watanzania wote kupitia vyombo vya habari kesho 4/1/22 saa tano asbh

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,905
Baraza la Vijana @ChademaTz (BAVICHA) kesho Januari 04, 2022, saa tano kamili asubuhi litazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chama Kinondoni, Dar es salaam. Vyombo vyote vya habari vinakaribishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…