nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
inaonekana ni watu wa mbeya!Daniel Naftal ni Mfupa kaka
inaonekana ni watu wa mbeya!Daniel Naftal ni Mfupa kaka
ni vizuri cdm wakaweka maslahi mapana ya taifa na chama mbele kuliko maslahi ya watu binafsi, ni vizuri mwenyekiti wa bavicha taifa akatoka nyanda za juu kusini au kusini, pia katibu ni afadhali akatoka kanda nyingine ili kukifanya chama kuwa cha kitaifa zaidi!mwenyekiti bavicha ni DANIEL NAFTALI wa RUKWA
katibu wake PAUL CHACHA MAKULI wa MARA
hao ndio chaguo la chama
Mambo haya!
Baraza la vijana lililopita halikufanya kazi zake kwa uhuru, lilijiegemeza mgongoni kwa viongozi! Kwa mfano mwenyekiti Bavicha anayemaliza muda wake hajawahi kufanya ziara ya kujenga chama mikoa ya kusini kama ruvuma na hata iringa. Tunaomba viongozi wa bavicha wapya wajitaidi kufanya oparesheni nchi nzima bila kutegemea viongozi wa juu!
Mambo haya!
haa haa lini ruvuma alifanya oparesheni ya kujenga chama? Je ni maeneo gani? Acha propaganda katika mambo ya msingi! Tunataka chama kienezwe kote nchini, na hiyo ndo kazi mojawapo ya jumuiya mbalimbali za chama!wacha kudanganya wewe,iringa,njombe ,mby ,rukwa na ruvuma ameshatembelea labda lindi na mtwara
ubaguzi hata ndani ya ccm upo, huwezi kugombea uenyekiti wa taifa bila kuwa rais, na unashindanishwa na kivuli!Chadema inatafunwa na dhambi ya ubaguzi