Kwa wasiokumbuka,uchaguzi wa bavicha mwaka 2009 ulifutwa baada ya kafulila kuchakachuliwa na kunyimwa ushindi kwa madai alikuwa anaungwa mkono na zitto, hatimaye akaondoka chadema akiitwa sisimizi. siku hizi ameongezeka kidogo anaitwa tumbili. ni wazi sisimizi aliauwa tembo kule kasulu.
uchaguzi wa mwaka huu una kila sura ya kupasua bavicha, kwani Mgombea wa uenyekiti toka kigoma,ameanza kusukiwa mizengwe ili aondolewe ama achakachuliwe kwa hisia kuwa ni mfuasi wa zitto.
lakini,kinyume na waraka wa katibu mkuu, daniel naftal amegharimia nauli,malazi na vyakula vya wajumbe toka bukoba,mbeya,zanzibar,mwanza na shinyanga,na amekuwa na vikao vya kampeni tangu tar 2 kabla ya muda. hatari ni kuwa john heche mwenyekiti anayemaliza muda wake amehudhuria vikao hivyo.kwa maslahi ya chama,nimewasilisha ushahidi wa video wa vikao hivyo.
mpaka sasa kimya,nafikiria kuumwaga hapa ili jamii ione unyamaziaji huu wa uvunjaji kanuni. labda kwa kuwa mhusika anabebwa na chama.