JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
Anae amini Hilo ni mwehu Kama wehu wengine. Ujinga ni kipaji by nyerere
Hehee mkuu mimi huiamini kweli, na kweli hiyo huniweka huru.
anae amini hilo ni mwehu kama wehu wengine. Ujinga ni kipaji by nyerere
I still believe, CDM kufa ni swala la muda tu.
mkuu jamaa anasema eddo (yule aliyefanya press conf. Pale mic ubungo) na vija wenzake wapo mwanza wameungana na chagulani wanang'ang'ania kuhoji suala la dr. Kumiliki kadi ya ccm!
HAPO KWENYE RED nadhani unaweza kuwa sahihi,Lakini si kwamba eti Dr.slaa hawezi kung'oka yeye ni nani?NI KWAMBA DR.SLAA AMESHAKUWA NA SHUTUMA KIBAO NDANI YA CHADEMA ZA KUKIDHALILISHA CHAMA KIASI KWAMBA ANAVUNJA MIOYO YA WATANZANIA WENYE KIU YA MABADILIKO
Inaonekana kila kiungo chako cha mwili kwa sasa kime"relax" baada ya kupata habari hizi,hongera sana mkuu!!Mkuu mbona unaandika habari nusu nusu au unamuogopa Dr Slaa. Bavicha Mwanza wanasema Dr Slaa ni pandikizi la CCM anamiliki kadi ya CCM haya ndio madai yao makubwa ya Bavicha Mwanza. Wanataka aachie ngazi kama atagoma wataitisha maandamano nchi nzima.
chadema wanazidi kutapatapa ovyo tu kila mmoja anakuja la na wazo lake...ukweli utabaki kuwa ukweli dr slaa ni pandikizi la ccm ndani ya chadema.
time is a continuous variable
mimi ninayo shilingi hamsini ile ya zamani(ya noti),naweza kuitumia kwenye maduka ya ccm,fikiri kabla ya kusema,hatudanganywi na propaganda za marehemu watarajiwa(magamba)chali.
Awesome...!!..kwani wewe ni wa jinsia gani mkuu?.