mbaya kwa sababu vijana wa kameroon wanakuja kutuharibia vijana wetu hapa nchini
hakuna demokrasia nadani ya chadema unakumbuka zito na mama yake.
Na wewe maswaswa embu tupe nafasi na sisi tupost aaaahh!!unajaz maupuuzi wako weeeee......(kwa tafsiri ya kwetu MASWASWA maana yake ni MAPUMBA) Sasa usituonyeshe mapumba yako mkuu humu ni nyumbani kwa magreat thinkers!
Samahani mkuu,hoja si ni mkutano wa kimataifa wa vijana unaoratibiwa na BAVICHA,ya Zito na mamake yanakujaje,mtahangaika sana trip hii. hoja yako ni kama ZUZU,you are running too fast toward the wrong direction.
kweli BAVICHA kunavijana wehu hiyo dunia ya vijana ipo nchi gani,na Ben Saanane yupo.
umeandika nn sasa, hebu soma tena comment yako. Mm nimesema ntakuja na maziwa mengi ili kuwasaidia mtakaolisha sumu, si unajua dawa ya kumaliza nguvu ya sumu ni maziwa?
naomba unitue tusichoshane mimi nimemjibu mdau mmoja aliyelileta hilo suaala na wewe umekuja kudandia gari kwa mbele tulia acha kuhema mda bado upo mtaipata tu make kinana kawashika pabaya.
Umekwishafanikiwa kuwalisha maziwa Mwakyembe, A. L. Mrema na Prof. Mwandosya?umeandika nn sasa, hebu soma tena comment yako. Mm nimesema ntakuja na maziwa mengi ili kuwasaidia mtakaolisha sumu, si unajua dawa ya kumaliza nguvu ya sumu ni maziwa?
hongera kwa kukitendea haki kiswahili!.
Mswasa,Mswasa,mswasa kweli amepewa kazi ya kujituma,i can see some millage,keep it up,only registred in 2013 lakini umeshawapita waliokuwepo tangu 2009
I thought you are a part of chadema system so why with this indifferences support your fellow party youth for the betterIYDU ni combination ya washirika wa aina mbili; conservative na Christian Democrat.Where is the difference? I stand to be enlightened lakini naweza kusema kuwa IYDU inafungamana na vyama vyenye mlengo wa christian democracy.Sijui kama ni vyema kwa CHADEMA kuji associate na vyama vyenye malengo ya kidini. Hii si huenda ikawa inafanana na ile hoja ya uliberali kwa CUF.Source: IYDU declaration of principlesEnlighten me lakini CHADEMA kuweni makini.
I thought you are a part of chadema system so why with this indifferences support your fellow party youth for the better
IYDU ni combination ya washirika wa aina mbili; conservative na Christian Democrat.
Where is the difference? I stand to be enlightened lakini naweza kusema kuwa IYDU inafungamana na vyama vyenye mlengo wa christian democracy.
Sijui kama ni vyema kwa CHADEMA kuji associate na vyama vyenye malengo ya kidini. Hii si huenda ikawa inafanana na ile hoja ya uliberali kwa CUF.
Source: IYDU declaration of principles
Enlighten me lakini CHADEMA kuweni makini.