Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
1.Baraza la Vijana wa chadema(BAVICHA) mkoa wa Kilimanjaro tunaitikia wito na tamko la uongozi wa bavicha taifa - Kushirikiana na jeshi la polisi kutekeleza zuio la mikutano na mikusanyiko ya kisiasa.
2.Julai 23 ni siku ambayo chama cha mapinduzi (CCM)kinatarajia kukutana mjini Dodoma kwa ajili ya kupata mwenyekiti mpya wa chama hicho.Utakuwa ni mkusanyiko wa kisiasa ambao ni kinyume na zuio lililotolewa na jeshi la polisi.
3.Ninatoa maagizo kwa Viongozi wa majimbo,wilaya na kata zote za mkoa wa Kilimanjaro kuandikisha majina ya vijana wanaotakiwa kuwasili Dodoma mapema kabla ya julai 23 ili kujiandaa kushirikiana na jeshi la polisi nchini kutekeleza zuio la mikusanyiko ya kisiasa.
Kibona Dickson.
Bavicha Kilimanjaro.