Unaijua ofisi ya kwanza ya CCM pale Magomeni ilikuwa na vyumba vingapi nafikiri nyie mmezaliwa juzi enzi za ufisadi hamjui tulikotoka.Siku zote walikuwa wapi? wenzao wanawekeza kwenye ma high rise wao ndio wanaanza na nyumba ya vyumba sita?
Unaijua ofisi ya kwanza ya CCM pale Magomeni ilikuwa na vyumba vingapi nafikiri nyie mmezaliwa juzi enzi za ufisadi hamjui tulikotoka.
Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
taharifa ndo nini? Acha kutuchanganyia kilugha chenu unakuwa kama wale akina mwita wakinunua key body wanan'goa button ya L as huwa haitumiki kabsaaaaa,wao kila kiru ni R!
Na wewe 'kiru' ndio nini.taharifa ndo nini? Acha kutuchanganyia kilugha chenu unakuwa kama wale akina mwita wakinunua key body wanan'goa button ya L as huwa haitumiki kabsaaaaa,wao kila kiru ni R!
kwani mlishindwa 2010,iweje 2015.Hilo nalijua....ndiyo maana nakuambia uchaguzi ujao tunalichukua ilo jimbo la kinondoni kiulaini kabisa! chezea cdm wewee
Una haki ya kuhama. You won't be missed.Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
Naona nyie CDM hamna sera nyingine. Kila siku mnaongolea tu ufisadi! Njooni na hoja nyingine, hilo neno tayari tumeshalichoka!kwenu ni chumbani kwako na mkeo!! are you out of your head?? wewe ni mhimili mkubwa wa ufisadi ndio maana unaogopa sauti ya demokrasia karibu yako hama wewe!1
Najaribu tu kuwapa changamoto hawa wachaga wenzangu CDM wasing'ang'anie eneo moja tu!!Una haki ya kuhama. You won't be missed.
Waungwana wakati vijana wa vyama vingine wakiwa hoi, Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA leo limefungua rasmi ofisi zao zilizopo mtaa wa Togo Kinondoni. Hii ni ishara ya vijana hawa kuendelea kujiimarisha kisawa sawa na hii ni hatua muhimu katika mapambano.
Pongezi za dhati kwa hatua hii BAVICHA.
Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
Ndio nawashauri hawa vijana wa CDM angalau wakajenge makao yao makuu pale Manushi au pale Masama kuliko kung'ang'ania Kinondoni!kwenu si Kindi kaka?
Sasa inabidi BAVICHA mkazane ili mtutengenezee tovuti (WEBSITE) ili tuwe tunapata taarifa za baraza kirahisi. Mimi nadhani hili si swala la kusubiri. Umma wa vijana unahitaji kupashwa habari.
Pia tunahitaji kuona movement zenu vijijini huko walipo vijana wenzetu. Hamuhitaji kukaa ofisini. Waacheni UVMASABURI wakae ofisini wakigawana ufisadi.
Nadhani Munishi na Heche mmetupata!