Bavicha hiyooooooooo

Bavicha hiyooooooooo

Scolari Ndenga

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2008
Posts
271
Reaction score
43
Waungwana wakati vijana wa vyama vingine wakiwa hoi, Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA leo limefungua rasmi ofisi zao zilizopo mtaa wa Togo Kinondoni. Hii ni ishara ya vijana hawa kuendelea kujiimarisha kisawa sawa na hii ni hatua muhimu katika mapambano.

Pongezi za dhati kwa hatua hii BAVICHA.
 
Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
 
ongereni sana ila iwe tz nzima na haswa zile sehemu ambazo upinzani ni mgumu
 
Bigup Bavicha, but unatakiwa uweke picha hapa 2shuhudie maswaga ya bavicha koz kuna wa2 humu wa chama cha baba mwanaasha huwa hawaamini mpaka waone.
 
Mmewachoka wewe na nani?
Kila mtu ameshachoka kuisikia CDM kinondoni kinondoni...kama Kodi za pango za maeneo kama Ilala zinawashinda, tuambie tutawachangia
 
Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
Mkuu unavuta shuka wakati kushapambazuka? tene kwa taharifa yako mwaka 2015 ilo jimbo linachukuliwa na CDM
 
Kila mtu ameshachoka kuisikia CDM kinondoni kinondoni...kama Kodi za pango za maeneo kama Ilala zinawashinda, tuambie tutawachangia

Weka ushahidi wa kuonyesha kua kila mtu amechoka kuisikia Cdm kinondoni, plz!
 
Waungwana wakati vijana wa vyama vingine wakiwa hoi, Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA leo limefungua rasmi ofisi zao zilizopo mtaa wa Togo Kinondoni. Hii ni ishara ya vijana hawa kuendelea kujiimarisha kisawa sawa na hii ni hatua muhimu katika mapambano.

Pongezi za dhati kwa hatua hii BAVICHA.

Ni hatua nzuri!
 
Kinondoni tena????
Hebu tafuteni maeneo mengine, tumeshawachoka huku kwetu!!
Kinondoni kwenu? umeonyesha utoto wa hali ya juu, nyie ndio matapeli mnaowauzia watu mskiti kwa kudanganya ni nyumba ya urithi.
 
Back
Top Bottom