Bavicha hawana msimamo waache kucheza na akili za watanzania

ericjames574

Member
Aug 30, 2015
44
32
haiingii akilini kuona kuwa Hawa jamaa wametumia mda mwingi na akili nyingi kutudanganya wananchi wameongea sana na kuapa lazima wapige stop mkutano wa ccm July 23 lakini Sasa imebaki story tu Wanatupiana mpira tu viongozi sio siri sisi tunaosapoti upinzani hatuwaelewi kabisa tunasoma kwenye magazeti eti walichangisha na michango kwenda dodoma Sasa ni hadithi tu
 
Back
Top Bottom