nyamurujustine
Member
- May 29, 2017
- 37
- 13
Wapumbavu kabisa, Ishu ya Kibatala kuacha kumtetea Wema baada ya kuhama chama na Ishu ya Lowassa kwenda Ikulu imewavua nguo CDM. Wameonesha hawajakomaa kabisa kisiasa. Upinzani bado TZ
Si angesubiri Wema ndio amkache? Hiyo ingekuwa nzuri zaidi. Au angekaa kimya tuMoja ya ahadi iliyomfanya Wema arudi ugambani ni kufutiwa kesi yake ya matumizi ya dawa za kulevya,ulitaka Kibatala aendelee kusimamia kesi ambayo inatarajiwa kufutwa ili kutimiza ahadi za kumrejesha Wema ccm?
unafikiri Bavicha ni hao walioweka mfukoni uvccmWana nini cha kuongea hao?
ofisi za ccm zimejengwa kwa nguvu za wananchi wote na pesa za serikali na vyama vya ushirika na benki ya NBC na mashirika ya umma kila mtu anajuwa tunakukumbusha mtotoNimecheka sana ofisi za CHADEMA.
Hivi Mkuu we una chama ???!Nyumbu mshatulizwa na Edo nyie. Wote mko kimya leo.
Hivi Mkuu we una chama ???!
Kweli mkuuBavicha ndio Taasisi pekee ya vijana iliyo hai kwenye eneo la maziwa makuu.
Mkuu hata Mimi sina chama labda nikuulize swali lingine Mkuu ?Sina chama mimi. Wewe unacho?
Kwa nini huna chama mkuuSina chama mimi. Wewe unacho?
Mkuu hata Mimi sina chama labda nikuulize swali lingine Mkuu ?