assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
-
- #41
Kwa jinsi vyombo ya dola vya Tz vinavyofanya kazi kwa kuangalia aina na mtoaji, TAKUKURU wangeishakamata mtu hapo ili kuonyesha umahiri wao na kutoa fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.
- Waache hao wafu wazikane wenyewe eti bavicha ndio nini hapa bongo?
Le Mutuz
naskia ulijitangaza unamiliki yadi ya magari kumbe ni dalali tu. babako tushamzika kisiasa basi wewe sahau kutoka. utaishia kushoboka mitandaoni tu.
- hahahahahahah MAUKAWA wazee wa Rushwa bavicha uchaguzi unafanyikia Ml;iman City sasa ulitegemea nini kama sio rushwa tupu U know
Le Mutuz
- waache hao wafu wazikane wenyewe eti bavicha ndio nini hapa bongo?
Le mutuz
Rushwa ni adui wa haki.
- Waache hao wafu wazikane wenyewe eti bavicha ndio nini hapa bongo?
Le Mutuz
Haaaaahaaaaa we Maryooo kumbe upo....??? nasikia wewe na baba yako mnalelewa na Mama Anne Killango....!!?? aibu kubwa kwa familia hii- Waache hao wafu wazikane wenyewe eti bavicha ndio nini hapa bongo?
Le Mutuz
- hahahahahahah MAUKAWA wazee wa Rushwa bavicha uchaguzi unafanyikia Ml;iman City sasa ulitegemea nini kama sio rushwa tupu U know
Le Mutuz
Haaaaahaaaaa we Maryooo kumbe upo....??? nasikia wewe na baba yako mnalelewa na Mama Anne Killango....!!?? aibu kubwa kwa familia hii
- Waache hao wafu wazikane wenyewe eti bavicha ndio nini hapa bongo?
Le Mutuz
Unajua wee jamaa huwa hufaninii kabisa na comment zako na wewe ulivyo. Badilika bhana kwani unastahili kuwaza tofauti na ulivyo sasa. Ivi huko nje mkienda huwa hamjifunzi maana ndo mnazidi kufifia kifkra.- Waache hao wafu wazikane wenyewe eti bavicha ndio nini hapa bongo?
Le Mutuz
Hayakuhusu. Ya CHADEMA waachie wenyewe. GT si kuwa mbea na mropokaji
- Waache hao wafu wazikane wenyewe eti bavicha ndio nini hapa bongo?
Le Mutuz
wewe badala uweke mikakati ya kmng'oa Lusinde umekalia tu humu kupiga soga unafikiri ubunge unapatikana kwenye kisoda?
what a craap...it sounds weird kwa mtu wa mri wako huondika shit kama hizi....
anyway wewe ni me au ke?