BAVICHA, BAWACHA rushwa nje nje

Daa!! Huu mbini umemuingia kisawa sawa sijui kama atarudi.
 
William umefulia kama baba yako. ..utaishia kupiga makelele mitandaoni na ubunge utausikia kwenye jamii forums. ..mburulaz wewe!

- hahahahahahahaha yaani mavyeo yote niliyonayo CCM sihitaji mengine tena wewe UKAWA wazee wa Rushwa bavicha

Le Mutuz
 
Ahahaha unacheka KIkamerun. By the way Le Mutuz are u a REAL Man?
 
M real ndo maana sipo WALA SIJIPENDEKEZI CCM.
 
Nacheka tu hapa kusoma bakora.
 
Nimependa uchaguzi wa bavicha/bawacha, LIIIIIIIIVE!!!
Na hao CCM wataiga tu japo wenyewe rushwa huwa nje nje!!
Hongera BAVICHA...
Hongera BAWACHA...
Hongera CHADEMA...
 
Shutuma za udini,ukabila na ukanda zimebuma?Jaribuni na hili,tunachoelewa chaguzi zimeitishwa na zimefana.
 
Tazameni nimagazeti gani hayo kama si ya Lumumba? Uharo and Jamba
 
chadema 2015 itakuwa stori itakayowasumbua wengi. huwezi kumkana zzk ukabaki salama
 
baadhi ya wagombea wamelalamika baadhi yao wametumia rushwa kati ya alfu thalasini na hamsini kuwarubuni wajumbe.
mytake hii ni hatari
sourxce startv magazeti

Kwa jinsi vyombo ya dola vya Tz vinavyofanya kazi kwa kuangalia aina na mtoaji, TAKUKURU wangeishakamata mtu hapo ili kuonyesha umahiri wao na kutoa fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…