BAVICHA, BAWACHA rushwa nje nje

BAVICHA, BAWACHA rushwa nje nje

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
baadhi ya wagombea wamelalamika baadhi yao wametumia rushwa kati ya alfu thalasini na hamsini kuwarubuni wajumbe.
mytake hii ni hatari
sourxce startv magazeti
 
- Waache hao wafu wazikane wenyewe eti bavicha ndio nini hapa bongo?

Le Mutuz
William umefulia kama baba yako. ..utaishia kupiga makelele mitandaoni na ubunge utausikia kwenye jamii forums. ..mburulaz wewe!
 
Le Mutuz again, umeshaharibu Siku yangu tena. Huna maturity ya kuchangia dume unalelewa na Mke wa Baba.
 
Hii imezidi na inachosha, vijana wa ccm mna propaganda za kijinga mno
 
baadhi ya wagombea wamelalamika baadhi yao wametumia rushwa kati ya alfu thalasini na hamsini kuwarubuni wajumbe.
mytake hii ni hatari
sourxce startv magazeti

Ndo mliyokuwa mkitamani yatokee walau mpate cha kusema,lakini holaaa,ahahahaaa....
 
Mashoga nao wana haki ya kuongea, hasa wale wanaosifia mabwana zao na kuwaita mabillionea.

Super sana, kubwa jinga

Ahaa haaa una maana yule billionea anafanya yake kwa jamaa le si rizikiiiii
 
Mashoga nao wana haki ya kuongea, hasa wale wanaosifia mabwana zao na kuwaita mabillionea.

Super sana, kubwa jinga

- hehehehehehe CUF si mliwaita mashoga na sasa mmeungana nao leo una ubavu hata kuwatukana na mashoga na huku mmeungana nao? hahahahahahahaah kwani kwenye UKAWA hamko na CUF mliosema mashoga au umesahau unajua ukiwa shoga huwa ni rahisi sana kuamini wengine wote ni kama wewe hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom