Baunsa yuko tayari kukusaidia

Ha ha ukimsogelea hapo ananuka chang'aa . Ila watu wahivi wanakuwa na nguvu balaa
 
Aje tukamzingue Makonda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaaaaa jamani msiwe na shaka baunsa yuko vizuri kila sekta
 
R. I. P
Nadhani tangu apigwe picha hii hadi leo hatunae tena duniani.
 
R. I. P
Nadhani tangu apigwe picha hii hadi leo hatunae tena duniani.
Si vema kuombeana vifo. huyu jamaa yupo hai na anadunda,waweza tangulia wewe na ukamuacha kama alivyo
 

Attachments

  • IMG_18802961356458.jpeg
    39.7 KB · Views: 42
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…