Battle royal: Kampala vs Dar es Salaam

Dar population 4.8 M
Kampala 2.7M
Nairobi 3.5M

Those are exaggerations of a Danganyikan Government. Tanzania ni kisima vha Giningi. That town has a population no more than 3 million people. Nyinyi mnaongeza population mpaka ya mkoa mzima
 
Huja fanya research , Nairobi hadi nyumba za udongo zpo hadi leo si mzibomoe
Dareslum si mko nazo tu nyiiingi si Tandale Si Manzense, Si Mwanyamala kwa kopa si jiji nzima.... Yenu tu exaggerations left right and centre. Who doesn't know you cook figures to suit your injured egos........ Mara Dar 5 million people, Mara uchumi unakuwa kwa asilimia 7,kesho mtatuambia Danganyika ni chumi kubwa duniani. Huh! A Danganyikan is capable of doing anything to massage his ego.
 
Dareslum is one jungle of a slum usijidanganye hapo
ChMmBkuWwAE0zOv.jpg
 
Those are exaggerations of a Danganyikan Government. Tanzania ni kisima vha Giningi. That town has a population no more than 3 million people. Nyinyi mnaongeza population mpaka ya mkoa mzima
Jiji lote ni mkoa kaka jiji lina manispaa tano na wilaya tano unafikiri jiji dogo lile
 
Dareslum si mko nazo tu nyiiingi si Tandale Si Manzense, Si Mwanyamala kwa kopa si jiji nzima.... Yenu tu exaggerations left right and centre. Who doesn't know you cook figures to suit your injured egos........ Mara Dar 5 million people, Mara uchumi unakuwa kwa asilimia 7,kesho mtatuambia Danganyika ni chumi kubwa duniani. Huh! A Danganyikan is capable of doing anything to massage his ego.

Manzese au Tandale wewe unaifahamu!!
Uliona nyumba ya Tope !!!
Iweke hapa na link ulipo itoa
 
Mwachekesha kweli MOTOCHINI na MAGARA. Kama ingekuwa ni kuweka picha ya miji hapo mgechangamkia kupost mipicha, lakini ikiwa ni mambo ya makaazi au mabarabara, eti sasa ndio mwasema watanzania hampendi kujionyesha....balaa!
 
Ha! U wish. Dar kwa Nai, kama tunavyosema huku Kenya, "haitoshi mbonga". Nai iko level ya akina Capetown ama Durban.
Kampala even beats Dar hands down interms of the suburbs!
Eti level za Capetown ? Labda Capetown ya mathare
 
Back
Top Bottom