Battle Pesa Vs Elimu

Hakuna pesa inayopatikana bila elimu, hivi Kuna MTU ameshawahi pata pesa bila elimu? Toa hata mfano wa MTU hata mmoja wa watu wenye pesa ambao wamepata pesa bila ya elimu
 
Tumerudi form one Sasa "Money is better than Education"
 
Elimu ni neno pana sijui una maanisha nini.
Kusoma darasani au
Hakuna pesa inayopatikana bila elimu, hivi Kuna MTU ameshawahi pata pesa bila elimu? Toa hata mfano wa MTU hata mmoja wa watu wenye pesa ambao wamepata pesa bila ya elimu
 
Money is better than education, get money get education. Education is money, huwezi pata elimu bila pesa.
 
Neno elimu ni neno pana sana,
Kuna elimu inayoweza kukupatia pesa kuna elimu inayoweza kufanya uishi na watu vizuri N.K elimu ni jumla ya maalifa, ujuzi na muelekeo alionao mtu.

1. maarifa ni uwelewa wa kinadharia wa jambo fulani
2. Ujuzi ni uwezo wa kufanya jambo ki vitendo
3. Muelekeo ni iman alionayo mtu,

Let's say unaelimu ya cyber security, hivi unajua unaweza kulipwa bilioni moja, kwa ripoti moja itakayoonesha umeweza ku compromise server za OPENSEEA crypto currency?

So i always pesa ipo ila elimu ya kuipata ndo shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…