Dah! Nkrumah hall.Wasalaam.Mimi kama mdau wa Elimu najiuliza na nina kiu kujua kwamba ni chuo kipi bora hapo.
Najua vipo vyuo vikuu bora vingi katika nchi hizi na barani Africa
Ila kwa leo tuangalie ubora wa Taaluma na wataalamu wanaopikwa katika vyuo hivi vya Nairobi na Dar es Salaam.
Pia tutaangalia miundombinu bora na inayozingatia sayansi na technologia na kusapoti walemavu pia.
Karibuni sana wadau.
View attachment 3298300View attachment 3298301
Chuma ya mjerumani hioDah! Nkrumah hall.
Hilo jengo sijui lina uimara gani tu sasa hivi maana umri wake umeenda sasa.
Lotsa great memories from there…..from Jimmy Katumba’s mini concert to Edward Seaga’s lecture and meet and greet!