Battle: Mke wa ndoa VS michepuko

Mimi ni mwanamke na mke mtariwa wa mtu so mchepuko atamshinda mke kwa sababu kuu mbili.
1.hana majukumu yeye hujianda kwa ajili ya kuliwa .
2.pili utakuta ni mdogo kwa mke wa yule bwana.
Michepuko hujiachia nakumpa raha zote muhusika ili arudi .
3. Mchepuko kweli asilimia kubwa sio mtu aliyezaa so bado maujuzi.
Nguvu kuchangamkia kumakinika bado anaweza .
I mean kujituma kupo
So ni challenge kubwa.
Mwanamke wa ndoa mara anawaza ada , chakula ,watoto,usafi,kazi,kila kitu eti nikazi halafu akifika kitandani ni usingizi tu.
Nakimpa mume hajitumi ni basi tu . unakuta mwanaume mpaka akumbukie maujuzi fulani ndio shida imtoke so lazima mchepuko ndio yupo juu.
Maana hilo tu ndio anafikiria huyo mume.
 
Kuku Kuku, Jogoo jina Hata Huyo mchepuko siku ukimpa cheo cha mke utaona kuna kitu kimepungua kwake Akili itakutuma ukachepuke Tena.
 
Wewe utakuwa bado kasichana kuna michepuko wake za watu na wana majukumu kushinda wake halaliii na wana watoto mpaka wametukuu tunapishana nao huku guest bubu . Usijiongopee kwamba hawana majukumu.
 
Kuku Kuku, Jogoo jina Hata Huyo mchepuko siku ukimpa cheo cha mke utaona kuna kitu kimepungua kwake Akili itakutuma ukachepuke Tena.
hatuchepuki kwasababu ya mapungufu ya wenzi wetu ndani tu.

muda mwingine mtu anachepuka akijiuliza hajui sababu na moyoni anajiambia hivi hapo sasa nimefuata nini.

Cc Heaven Sent.
 
Wewe utakuwa bado kasichana kuna michepuko wake za watu na wana majukumu kushinda wake halaliii na wana watoto mpaka wametukuu tunapishana nao huku guest bubu . Usijiongopee kwamba hawana majukumu.
Najua hilo kuna aina mbili au tatu za michepuko wazee wamama na wasichana .
Hao wanajiandaa kwa mtu ila mke hajiandai yupo busy
 
Ni sawa binamu, ila hiyo "bado sana" ikiisha, sio vibaya tukiufinya mpunga[emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]
Sio Leo wala mwakani acha niwe mchepuko wa mtu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
 
hatuchepuki kwasababu ya mapungufu ya wenzi wetu ndani tu.

muda mwingine mtu anachepuka akijiuliza hajui sababu na moyoni anajiambia hivi hapo sasa nimefuata nini.

Cc Heaven Sent.
Ukishajiaminisha kuwa kucheat ni nature, basi nature lazima ikuite kwa nguvu na utachepuka tu (Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo). Kill that mindset kwanza, amini kuchepuka sio lazima
 
hatuchepuki kwasababu ya mapungufu ya wenzi wetu ndani tu.

muda mwingine mtu anachepuka akijiuliza hajui sababu na moyoni anajiambia hivi hapo sasa nimefuata nini.

Cc Heaven Sent.
Kila mmoja anachepuka Kwa sababu zake binafsi,
Mwingine ni hulka yake

Mwingine anaweza akachepuka yule mchepuko akaufanya mke na akatulia asiwe mchepukaji.

Kwa ujumla mahusiano ni mapana mithili ya bahari uwezi ukaongelea Ukayaweka fungu moja mahusiano ni Kama tabia zetu Wanadamu Kila mmoja anayaendesha Kwa namna yake anayoona yeye Yanafaa ukiyaongelea Kwa wingi hutopata jibu sahihi.
 

there you are.

lakini takwimu zinaonyesha wanaume tunaongoza kutoka nje ya ndoa... nje ya ndoa kwa waliopo kwenye ndoa.

swali ni je, wanaume ndio tuna sababu za kuchepuka?

je ni kweli wanaume wengi ndiyo hawana self control? kwanini inakuwa hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…