Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Mimi ndio mkeo na mimi ndio mchepuko wako...[emoji23]Sio kweli micheps wanajua mapenzi .....
nihali fulani ya uanamme kujihis akiwa na mwanamke mwingine basi ni bonge lamtu yaan anajisikia km Mfalme.
Ila amin nakuambia ,Hata mfalme suleiman, alikua na wake 600 ,michepuko 300 ikaendaa ikaendaaaa ikaendaaaaaa, akajikuta hata kwa mwaka hawezi kukutana kimwili na wanawake 200 ,,ikafikia wakati akitaka kuongea nao basi wanakusanywa au anaandika mabango mwishooooooooooni kabisaaa akaamua kutulia zake na mke wake wakwanza ...yule aliyemuandikia kitabu cha "wimbo uliobora".
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Michepuko ni opportunists tu, afu inajua kuna nyumba kubwa so lazima ihakikishe inacompete vya kutosha ijiweke kwenye nafasi nzuri, to prove their worth. Lazima ikuibie ibie na cares sijui mapishi ya nini bila kusahau limbwata la kinyama cha K. So huku ni fantasy zaidi coz nyumba ndogo ipo just to compete, na hakuna mtu anayepumzikaga kwenye competition. Kama anayajua mapenzi kiasi hicho si atafute fresh man amnogeshe hadi amuoe? Kwa nini upoteze ujuzi kwa mtu ambaye possibly hatokuwa mumeo milele?
Afu maisha ya kuishi na mke ni tofauti na kuishi na mchepuko.
Mke unaishi naye ndani ya nyumba, there is more to your relationship than sex, kwa mchepuko sex ndo kiunganishi chenu kikuu. Mnaonana mkimissiana tu na kula good times, no discussion za ada za watoto, homeworks sijui mtoto anaumwa, kodi, baba mkwe kalazwa etc.
Hata mkeo maisha uliyoishi naye kwenye dating ni tofauti na sasa, kule most of times ilikuwa ni good times tu ndo zikakunogea hadi ukamuoa. Na sasa hivi kila wakati unamuona, umemzoea ndo unahisi umemchoka. Muache mkeo uchukue mchepuko uoe afu uone kama zile fantasy mlizokuwa nazo kwenye kuchepuka zitaendelea.
Huwezi kufananisha a family life na vitu vya ajabu ajabu sijui kuchepuka life, wala kumfananisha mke kitu chema na kahaba shimo refu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Still cheating inabaki kuwa ni choice. Na wanaume wetu wameshajiaminisha kuwa cheating ni nature yao. Hata ukiwa malaika atakwambia amechepuka tu kwa sababu ni nature yake. Mtu kuwa msumbufu sio justification ya kuchepuka, kama umemshindwa kabisa muache, then kaoe huyo unayehisi atakufanya utulie. No one is perfect, ni kuvumiliana tuHeaven Sent amemaliza... baadhi ya wanaume mke anajitahidi mnoo hawana shukrani
Naweza kuwaelewa wale ambao wake zao ni wasumbufu
Tunapojadili suala la kucheat lazima tuangalie mambo mengi.Still cheating inabaki kuwa ni choice. Na wanaume wetu wameshajiaminisha kuwa cheating ni nature yao. Hata ukiwa malaika atakwambia amechepuka tu kwa sababu ni nature yake. Mtu kuwa msumbufu sio justification ya kuchepuka, kama umemshindwa kabisa muache, then kaoe huyo unayehisi atakufanya utulie. No one is perfect, ni kuvumiliana tu
Tunapojadili suala la kucheat lazima tuangalie mambo mengi.
1. kwanza kwanini wanaume ndiyo tunaongza kucheat.
2. kuwa na mke mmoja ni sahihi kidini na kisayansi? na ni kweli wenye wake zaidi ya mmoja wao hawacheat?
ni kweli wanaocheat wanafuata nje walichokikosa ndani?
3. kufanya mapenzi na mtu mmoja kila siku kunakinaisha au hakukinaishi? ni njia gani itumike kujizuia kutomchoka mkeo?
Sasa Daby unauliza maswali au unahalalisha hapa?Tunapojadili suala la kucheat lazima tuangalie mambo mengi.
kwanza kwanini wanaume ndiyo tunaongza kucheat.
kuwa na mke mmoja ni sahihi kidini na kisayansi? na ni kweli wenye wake zaidi ya mmoja wao hawacheat?
ni kweli wanaocheat wanafuata nje walichokikosa ndani?
kufanya mapenzi na mtu mmoja kila siku kunakinaisha au hakukinaishi? ni njia gani itumike kujizuia kutomchoka mkeo?
mpwa nakuelewa ... ila wanaume hatucheat kwasababu ya sababu ya all men cheat.1. Sina takwimu sahihi ni kina nani wanaongoza kuchepuka zaidi, ila naasume wanaume ndo mnaongoza kwa sababu ya excuse yenu ya "All men cheat". Aaminivyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo, so mtu atacheat tu hata kama hakuna sababu. Wanawake wanacheat sana tu, ila sio openly kama wanaume na hawajustify sana cheatings zao
2. Binadamu tumeumbwa na conscious kututofautisha na wanyama. Kuoa/kuolewa hakumfanyi mtu asitamani watu wengine, ila umepewa utashi ili uweze kujicontrol. Mimi naamini katika mke na mume mmoja, kwa sababu hata uruhusiwe kuoa wanawake 100, utakutana tu na wapya watakaokuvutia. Kuwa na partner mmoja na kuwa mwaminifu, sasa hivi na haya magonjwa kila mmoja akichepuka utaipenda hiyo chain yake. Kuwa na wanawake wengi sio guarantee ya mtu kutulia, wapo wanaochepuka kibao tu. Afu mbona mtu hachepuki na mtu mmoja permanent, anapuyanga tu huku na kule?. So cha msingi ni kuridhika tu na mwenzi wako no matter what, utalala na wangapi hadi useme nimeridhika?
Wanaochepuka wanazifuatisha tu tamaa zao period. Huko nje utampata A, ukishamzoea utamfuata B then C etc. "Kipya kinyemi", huridhiki. Kama mkeo hakupi unachokitaka, mtafute basi atakayekupa utakacho then tulia naye. Usipojifunza kuridhika utakufa ukiwa kwenye research ya papuchi
3. Ndoa ni zaidi ya sex, lazima kuwe na mambo mengine ya msingi ya kuwaunganisha apart from sex, hayo ndo yatawasustain siku zile urge zikipungua. With time na majukumu mnajikuta ile fantasy ya sex haiwi kama ndo siku mmetoka honey moon
Marry your best friend, mtu ambaye hata bila sex unaweza ukaishi naye kwa furaha. Na mjifunze kurevive your intimacy kabla jini mkata kamba hajapita, datings za siku moja moja mnatokomea tu pasipojulikana kwa muda zinapendeza na zinafufua vilivyojifia. Sio kuleteana zawadi ndo kuliishia siku ya harusi khaa eti now tumezeeka. Fanyeni kwa pamoja vile vitu vilivyowabind wakati mkiwa mnadate .
najiuliza tu. Nakuambia ukitupanga wanaume wote line moja kisha sema ambaye hajawahi kucheat apite hapa.Sasa Daby unauliza maswali au unahalalisha hapa?
Hata sisi tunachepuka mpwa, mkishatuoa mavitambi hayo. Huko nje tunakutana na tall dark guys wanavaa suruali wanachomekea, viuno vinaonekana; tutafanyaje sasa? Hakuna binadamu anayetosheka, unaamua tu kuridhika. Sisi kuolewa kwetu hakutufanyi tusitamani vitu vipyampwa nakuelewa ... ila wanaume hatucheat kwasababu ya sababu ya all men cheat.
jumlisha na nature.
sisi kama nyumbani nimeacha kila kitu sina mawazo akipita binti mzuri mambo yanaharibika.
hata nyie mnatutamani ila sio kama siye kila siku tupo hot.
ningekuambia mengi sema u mpwa wangu nistahi.
yeah wanawake nao mnachepuka pia...Hata sisi tunachepuka mpwa, mkishatuoa mavitambi hayo. Huko nje tunakutana na tall dark guys wanavaa suruali wanachomekea, viuno vinaonekana; tutafanyaje sasa? Hakuna binadamu anayetosheka, unaamua tu kuridhika. Sisi kuolewa kwetu hakutufanyi tusitamani vitu vipya
I really like ur thinking.1. Sina takwimu sahihi ni kina nani wanaongoza kuchepuka zaidi, ila naasume wanaume ndo mnaongoza kwa sababu ya excuse yenu ya "All men cheat". Aaminivyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo, so mtu atacheat tu hata kama hakuna sababu. Wanawake wanacheat sana tu, ila sio openly kama wanaume na hawajustify sana cheatings zao
2. Binadamu tumeumbwa na conscious kututofautisha na wanyama. Kuoa/kuolewa hakumfanyi mtu asitamani watu wengine, ila umepewa utashi ili uweze kujicontrol. Mimi naamini katika mke na mume mmoja, kwa sababu hata uruhusiwe kuoa wanawake 100, utakutana tu na wapya watakaokuvutia. Kuwa na partner mmoja na kuwa mwaminifu, sasa hivi na haya magonjwa kila mmoja akichepuka utaipenda hiyo chain yake. Kuwa na wanawake wengi sio guarantee ya mtu kutulia, wapo wanaochepuka kibao tu. Afu mbona mtu hachepuki na mtu mmoja permanent, anapuyanga tu huku na kule?. So cha msingi ni kuridhika tu na mwenzi wako no matter what, utalala na wangapi hadi useme nimeridhika?
Wanaochepuka wanazifuatisha tu tamaa zao period. Huko nje utampata A, ukishamzoea utamfuata B then C etc. "Kipya kinyemi", huridhiki. Kama mkeo hakupi unachokitaka, mtafute basi atakayekupa utakacho then tulia naye. Usipojifunza kuridhika utakufa ukiwa kwenye research ya papuchi. Hakuna malaika huko nje
3. Ndoa ni zaidi ya sex, lazima kuwe na mambo mengine ya msingi ya kuwaunganisha apart from sex, hayo ndo yatawasustain siku zile urge zikipungua. With time na majukumu mnajikuta ile fantasy ya sex haiwi kama ndo siku mmetoka honey moon
Marry your best friend, mtu ambaye hata bila sex for a while unaweza ukaishi naye kwa furaha . Na mjifunze kurevive your intimacy kabla jini mkata kamba hajapita, datings za siku moja moja mnatokomea tu pasipojulikana kwa muda zinapendeza na zinafufua vilivyojifia. Sio kuleteana zawadi ndo kuliishia siku ya harusi khaa eti now tumezeeka. Fanyeni kwa pamoja vile vitu vilivyowabind wakati mkiwa mnadate .
Nilisema pia kuchepuka ni choice, ni tamaa tu. Kweli kuwa na hofu ya Mungu kunasaidia sana (ingawa pia wapo watu wasioamini ila wameamua tu kutokuchepuka) + kufanya vitu vingine vidogo vidogo amazing kwa pamoja, angalau shetani asipate nafasi. So the choice is yoursyeah wanawake nao mnachepuka pia...
ila mwanamke anapochepuka unakuta kakutana na ex... au classmate au workmate wa zama hizo.
my point is... kuchepuka hakusababishwi kwa kiasi kikubwa na mapungufu ya mwenza uliyenaye ndani...
ila ni asili ya binadamu. kwasababu kama ni mapungufu wangapi wanaacha vimodo ndani wanachepuka na mabitambi usiyoyatarajia.
cure: hakuna zaidi ya Imani yako. mwombe Mungu akuepushe navyo asimamie miongozo uliyoiweka.
Woow, To God be the Glory. ..
Wanaume wengi kuchepuka, haijustify kuwa ni kitu sahihi kufanywa. Still sio kitu sahihi hata kama 1% only ndo hawachepukinajiuliza tu. Nakuambia ukitupanga wanaume wote line moja kisha sema ambaye hajawahi kucheat apite hapa.
utachoka. btw kila mmoja anajijua.
Miye hadi kumuogesh nilikua namuogesha na bado alitomba nje[emoji57] [emoji57] nyie mna maana nyie wanaume kama watotooo!hawaridhiki jamaniInategemea
Sanaaaaa...binamu!Michepuko ni opportunists tu, afu inajua kuna nyumba kubwa so lazima ihakikishe inacompete vya kutosha ijiweke kwenye nafasi nzuri, to prove their worth. Lazima ikuibie ibie na cares sijui mapishi ya nini bila kusahau limbwata la kinyama cha K. So huku ni fantasy zaidi coz nyumba ndogo ipo just to compete, na hakuna mtu anayepumzikaga kwenye competition. Kama anayajua mapenzi kiasi hicho si atafute fresh man amnogeshe hadi amuoe? Kwa nini upoteze ujuzi kwa mtu ambaye possibly hatokuwa mumeo milele?
Afu maisha ya kuishi na mke ni tofauti na kuishi na mchepuko.
Mke unaishi naye ndani ya nyumba, there is more to your relationship than sex, kwa mchepuko sex ndo kiunganishi chenu kikuu. Mnaonana mkimissiana tu na kula good times, no discussion za ada za watoto, homeworks sijui mtoto anaumwa, kodi, baba mkwe kalazwa etc.
Hata mkeo maisha uliyoishi naye kwenye dating ni tofauti na sasa, kule most of times ilikuwa ni good times tu ndo zikakunogea hadi ukamuoa. Na sasa hivi kila wakati unamuona, umemzoea ndo unahisi umemchoka. Muache mkeo uchukue mchepuko uoe afu uone kama zile fantasy mlizokuwa nazo kwenye kuchepuka zitaendelea.
Huwezi kufananisha a family life na vitu vya ajabu ajabu sijui kuchepuka life, wala kumfananisha mke kitu chema na kahaba shimo refu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Binamu uolewe tu bana, not all men are the sameMiye hadi kumuogesh nilikua namuogesha na bado alitomba nje[emoji57] [emoji57] nyie mna maana nyie wanaume kama watotooo!hawaridhiki jamani
Yaani acha tu sitaki hata kusikia neno ndoa sasa hivi!let me enjoy my life now!