Aisee matonya alikuwa mkali ila MB mbwa aisee yule jamaa nikikumbuka ngoma zake, ratifa, si uliniambia, mapenzi kitu gani wee acha kabisa.
Na majani alikuwa naua kwenye beat, fikiria beat la latifah, halafu kila kinanda cha si uliniambia.
Hivi unajua ngoma ya kwanza ya Mb doggy ilibidi aimbe na chelea man ila madee akamwaribia chelea man kwa boss?
Sema pia matonya alikuwa nona bwana nikikumbuka siamini macho yangu na yale mabass ya beat za Roy Rip