Alikua Mwizi aliyejificha kwenye kivuli Cha Uzalendo uchwara,Hii ilidhihilika pale alipokua waziri wa ujenzi baada ya kuchukua nyumba za Nation Housing maeneo ya upanga na Oysterbay na kuwapa ndugu,marafiki na hawara kwa janja janja za nyani
Yaani kiufupi ni alifoji document Kwa kuzuga kauza kumbe kajiuzia mwenyewe Kwa Bei ya maandazi!
Harafu Sasa alikataa kukaguliwa na CAG prof Assad upotevu wa zaidi ya Tsh trillion 1 zilizopotea kimagumashi na Kwa kutopitishwa na bunge,
Akamuundia zengwe CAG Kwa kumstaafisha chini ya kamati ya roho mbaya wakiongozwa na Kimbunga Jobo wa pale Makao Makuu ya Bunge!
Miradi ya Matrillion kupelekwa kijijini kwao Chato ikiwemo intanational airport ambapo haikuidhinishwa na bunge Wala kukaguliwa na mkaguzi Mkuu wa serikali yaani CAG
Naanza na hayo kwanza nakuja na povu la buku jero kumkandia Nduli Jiwe!
Keep waiting!
Akikujibu kwa weledi najitoa JF!Shukran mkuu kwa uchambuzi mzuri, nina maswali machache.
1. Hizo nyumba za NHC alizojimilikisha vipi una ushahidi wowote kwamba zipo chini ya familia ya JPM?
2. Muda halisi wa kustaafu CAG ni miaka mingapi?
3. Kwani miradi ya maendeleo ilipelekwa Chato pekee? Je Chato co Tz? Na vipi miradi ya maendeleo iliyopelekwa Dodoma au maeneo mengine unaiongeleaje haikupendelewa?
Naomba Anti-Magufuli mjibu hizi hoja pasipo matusi tafadhali.01: Magufuli alinunua nyumba ngapi yeye binafsi kati ya nyumba zaidi ya 8,000 alizosimamia uuzwaji wake? Je, sheria haikumruhusu kununua? Je, kama alitenda kosa kisheria, kwanini hakuna yeyote aliyemshitaki?
02: Magufuli amefanya maendeleo maeneo mangapi Tanzania? Je, Chato haipo Tanzania? Rais haruhusiwi kufanya maendeleo sehemu anayotokea?
03: Je, kuna Rais gani wa wakati wetu aliyependwa na wananchi kama Magufuli? Ni Rais gani wa wakati wetu aliyeeleweka kwa wananchi kama Magufuli? Ni Rais gani mwingine wa wakati wetu aliyetegemewa na kupelekewa shida directly na wananchi wa kawaida kama Magufuli?
04: Ni Rais gani wa wakati wetu aliyesimamisha miradi mikubwakubwa kama Magufuli? Ni rais gani amesimamia ujenzi wa miundombinu kama Magufuli? Ni Rais gani wa wakati wetu ameiongoza Tanzania kwa kujitegemea yenyewe kushinda Magufuli?
05: Kuna Rais gani mwingine aliyefanya ziara za ndani ya nchi na kujionea mwenyewe utendaji kazi, siyo kuletewa tu ripoti ofisini, kushinda Rais Magufuli?
06: Je, ni Rais gani wa wakati wetu amekiheshimisha kiti cha Urais na kukirudishia hadhi yake kuzidi Magufuli?
Magufulia ni Rais bora kabisa wa wakati wetu, itatuchukua muda sana kupata Rais mwingine bora na imara kama Magufuli.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwaiyo aliiba akagawa, inaonekana alikuwa na roho nzuri sana
Acha kujitoa fahamu majizi yamejazana pale Lumumba yamevaa jezi za kijani na yanalindana Kwa pesa za milungula na ufisadi mkubwaWezi unawafahamu kweli? Wezi wana hisa zao huko Belgium na mijengo S.A na watoto wao wanakula maisha na route za kutosha China-Dubai!
Unapiga tu kelele za Mbwa Koko hakuna utakachowafanya nyie CCM wote ni ukoo wa nyani hakuna wa kumfanya kitu mwenzie kwenye suala la upigaji kwasababu wote majizi tu hakuna mwenye nafuu,acha kuwabebesha lawama wapinzani nyau nyieHapendwi na nani? usipompenda wewe mpumuliwa kisogoni na bwana ako ndo watanzania hawampendi? mnapomtukana mitandaoni tumekaa kimya mnahisi nyie ndo wenye nchi sio? kama hapendwi mnahangaika nini kumtukana kila uchao? embu mwambieni mama na wajao waende kinyume na JPM then waone kitachowapata, vyeti vyenu feki na vile hamna cha kufanya mmebakiza kumtukana mitandaoni mnahisi watu wote hawana cha kufanya ta.ahira wewe.
Jizi la mitrilion watoto wake wasimiliki mijumba na mibiashara mikubwa au hata ubunge ka Ridhiwani? Jizi la matrilioni asiwe hata na nyumba SA? au hata marafiki wa kula bingo kama wa EPA na ESCROW?acha kujitoa fahamu majizi yamejazana pale Lumumba yamevaa jezi za kijani na yanalindana Kwa pesa za milungula na ufisadi mkubwa
Acha kujitoa ufahamu bwashee!
Unamengi ya kufanya wewe na nani? mmeo? Magufuli ni yule mwamba alowanyoosha nyie wapumliwa visogoni kwa kuvifirisi na kuvifyekelea mbali vi NGO vyenu, hamuwezi kumpenda.Magufuli ni nani? Asitupotezee muda tuna mengi ya kufanya
Tukiwaita nyumbu mnakataa ona Sasa ulivyo zwazwa hivi Kwa akili zako unadhani jiwe hakukwapua mapesa?Jizi la mitrilion watoto wake wasimiliki mijumba na mibiashara mikubwa au hata ubunge ka Ridhiwani? Jizi la matrilioni asiwe hata na nyumba SA? au hata marafiki wa kula bingo kama wa EPA na ESCROW?
Huwa siargue na mibwabwa..dawa ishaingia.unapiga tu kelele za Mbwa Koko hakuna utakachowafanya nyie CCM wote ni ukoo wa nyani hakuna wa kumfanya kitu mwenzie kwenye suala la upigaji kwasababu wote majizi tu hakuna mwenye nafuu,acha kuwabebesha lawama wapinzani nyau nyie
Halafu punguza jazba utakufa Kwa presha dude haya kunywa maji!
dawa imuingie nani wewe TAGA Kaa Kwa kutulia kwanza hua si battle na misukuleHuwa siargue na mibwabwa..dawa ishaingia.
Teh teh..mlomwita mshamba anawatesa sana japokuwa kalala usingizi wa milele.Low IQ kama wewe ndio chanzo cha JF kupoteza ubora wake.
Rudi kijijini kachunge limbukeni wewe, 'shujaa' wako amekwenda, harudi tena.
Heri hata ametutoka hafai kabisa ,tangu 2016 graduates wamekosa ajira mbali na vyeti feki kutolewa kwenye ajira hakuna nafasi zilizojazwa ,ukosefu mkubwa wa ajira hadi leo kasababisha yeye, hivi kweli hata waalimu wa kukosa ajira ?ukienda vijini shule Ina wanafunzi zaidi ya 800 waalimu hawafiki 10,Kuna shule hadi walimu 4 na waalimu wamejaa mtaani bila kazi ,ukienda kwa madokta na manesi ndo hivo hivo.Low IQ kama wewe ndio chanzo cha JF kupoteza ubora wake.
Rudi kijijini kachunge limbukeni wewe, 'shujaa' wako amekwenda, harudi tena.
Mkuu Hii Mimbugila Ina akili za kushikiwa Aisee Haina hoja inachojua ni matusi tu ndio kawaida Yao maana pale Lumumba yanapewa kozi ya matusi na kulipwa buku Saba za bando kuja humu kupiga kelele na Huwa yana maada yanapewa yaianzishe then yaje humu kulia Lia yanahujumiwa Kama huamini angalia mrengo wa thread na wachangiaji wa mwanzo ndio utajua mbinu zao uchwara Hawa Sukuma GangLow IQ kama wewe ndio chanzo cha JF kupoteza ubora wake.
Rudi kijijini kachunge limbukeni wewe, 'shujaa' wako amekwenda, harudi tena.
Hehehe..alikuambia lini na wapi angeishi milele taa.hira wewe?Low IQ kama wewe ndio chanzo cha JF kupoteza ubora wake.
Rudi kijijini kachunge limbukeni wewe, 'shujaa' wako amekwenda, harudi tena.
Mshamba alijiona mungu mtu na akataka kutawala milele, mwenye ufalme wake akamuonesha nani mkubwa.Teh teh..mlomwita mshamba anawatesa sana japokuwa kalala usingizi wa milele.
hahahahaha MATAGA akili hamna AiseeVipi shoga lenu lile li advocate mshalisajiri nchini likamsaidie gaidi?