BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Asante
 
we nae mnafiki eti hapo umemtetea
 
tupe kidogo ilikuaje mkuu
 
Trump tower misssiuuu
 
Nimeshaanza shooo dah sijui ilikuwaje mpaka nikapitwa
We ulikuwa umekazana na mapugi huku kuna mwanaume Humble ana pesa hadi zimezuiwa na benki atoe maelezo kazipataje achana na wanaume wenye maneno mengii njoo huku tupambane na humble tupelekwe Ibiza
 
We ulikuwa umekazana na mapugi huku kuna mwanaume Humble ana pesa hadi zimezuiwa na benki atoe maelezo kazipataje achana na wanaume wenye maneno mengii njoo huku tupambane na humble tupelekwe Ibiza
Shoga nipo mbeleee kama alivyosema mkuu wa nchi ....tusimame hapa tudange haswaaaaa mpaka roho ziwatoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…