Sina hata uhakika mkuu ila basi tu nimeaikia kwa kujisifia kwake, possibly hata hana. Ujue ni vigumu sana pia kwa alienacho kujisifia tusio na kitu ndio tunakuwaga na misifa kibao. Yawezekana upo sawa aisee.
Engineer come on unanitia hasara promota kukimbia pambano mkuu,unafikiri mwishoni Hawa wapiga kura mi nitawaambia nn wakati wanasubiri account statement ya CRDB uliyowaahidi?
Mwenzio ameshaweka ile ya mboga tu kwenye M-PESA na hata zile ambazo zipo pending/withheld ambazo tumeziona documents.Kumbe ungekuwa muungwana hata
Ile M5 uliyotaka kuitapeli benki then usepe ungeweza wasilisha ombi kwa Humble African angeweza kukusaidia tu.