BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

kumbe katuma Zahra daaah!
 
Kumanina Humble African wewe mzee nakuelewa mno. Umeninyooshea hili linyang'au kazi kujisifia sifia tu mimi mchomi mnyomi. *****. Kwisha kabisa.
Mxiiuuuuuuuuu.
 
njoo ndugu yangu tumetoka mbali kweli kweli nakumbuka siku ile nawe hukuwa mbali leo tumeuoona mkono wa Bwana
Naja pm wangu sikutegemea kama injinia atatuvua nguo watu wa hesabu wenziwe!!daah!
 
Kwanzia leo inatakiwa mods wampe BAN engineer maskini kila atakapoleta vurugu humu ndani

vurugu nyingi kumbe hamna kitu hata screenshot ya mpesa kashindwa kutuma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
naunga mkono hoja,tena mie aache kabisa kunimention wala kunitag ,nataka wanitag Zahra na humble tu yeye atulie kabisa aibu aliyonsababishia ni kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…