Battle: Hig IQs VS Low IQs

Battle: Hig IQs VS Low IQs

Mfuasi yeyote wa ccm ni takataka, huwezi kuwa na akili timamu na ukaishabikia ccm, watch your back!
 
Wakuu!
Samahani nitakao waudhi ila nataka tukate mzizi wa fitna!
Low iq vs high iq nani mbabe, tujadili kwa reasoning!

Wewe mwenye high iq kina Kiranga Nyani Ngabu nk mnathibitisha vipi kama mna high iq? Na wale walio daiwa kuwa na low iq mmekubaliana na hali zenu au mna kipi cha kutu prove wrong?
Mbaga Jr
Bikra unayo karibuni.
Mimi Nina Akili (I.Q) Ndogo Sana
 
Watu wenye akili ndogo ndio hujiona wajanja sana, na wenye akili kubwa ndio hujiona hawajui kitu. Kwa sababu mwenye akili ndogo hajui hata hajui nini.
 
Back
Top Bottom