Kwani IQ ni nini? Kwa taarifa tu ni kuwa mtu mwenye High IQ lakini ni low SQ na EQ huishia kuajiwa au kupewa majukumu na kulipwa mshahara aua posho na mtu mwenye EQ na SQ Kubwa, Vipanga wengi walikuwa na IQ kubwa na mwanaishi amisha ya kawaida na kuajiriwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.