General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,186 Nov 9, 2017 #1 Fid Q mkali wa mistari na Mfalme wa Rymes Afande sele Nani Zaidi?
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Nov 10, 2017 #2 Namwelewa zaidi Afande Sele..
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,849 Nov 10, 2017 #3 Mkuu acha kumfananisha fid q na mambo ya ajabu.. Ukisikiliza SUMU na Ulimi mbili za fid zinafunika ngoma zote za afande ukiziunganisha... Fid ni habari nyingine Tz hii hana mfano labda umfananishe na watu wa mabara mengine kama amerika n.k
Mkuu acha kumfananisha fid q na mambo ya ajabu.. Ukisikiliza SUMU na Ulimi mbili za fid zinafunika ngoma zote za afande ukiziunganisha... Fid ni habari nyingine Tz hii hana mfano labda umfananishe na watu wa mabara mengine kama amerika n.k
sepaline JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 265 Reaction score 275 Nov 10, 2017 #4 Afande Sele yule yule muhenga au mwingine?
farharu JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 527 Reaction score 588 Nov 10, 2017 #5 Afande sele mtazamo Ni ule ule
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,560 Reaction score 41,523 Nov 10, 2017 #6 kiukweli Afande Sele katengeneza hitsong nyingi kuliko wasanii wote wa hip hop
twalib ngonyani JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 249 Reaction score 316 Nov 10, 2017 #7 kuilinganisha fid q na mgambo sele haiwezi kua fresh
Shuleless JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 4,972 Reaction score 6,246 Nov 10, 2017 #8 Sulemani Msindi... Fid yupo okay lakini ma stan wake wana mu-overrate.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,040 Nov 10, 2017 #9 13 August.
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,186 Nov 10, 2017 Thread starter #10 Sijawahi muelewa fid q mpaka kesho. Rymes za Simba sele hajatokea mpk leo kuzivunjaa
kanali mstaafu JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 4,318 Reaction score 4,116 Jun 4, 2018 #11 Ngosha