Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,850
- 11,305
Kundolewa Kazini nadhani ni njia pekee iwapo mtu hawezi kufanya kazi yake ipasavyo kama mwanzo..Leo katika mahojiano ya mtuhumiwa mmoja kwenye kesi ya ugaidi inayovuma limetumika neno "Battle Confusion". Mtuhumiwa ambae alikuwa Komandoo alisema alipotoka Congo kwenye misheni aliambiwa ana " Battle Confusion" na kuondolewa kwenye kazi yake ya uanajeshi. Hili neno sijawahi kusikia ila nadhani linatokana na literal translation ya " kuchanganyikiwa vitani".
Nadhani kuondolewa sio kufukuzwa.., unaweza kupangiwa kazi nyingine au kupumzishwa..., kuna kazi nyingine kuzifanya unaweza ukawa hatari kwako na kwa wengine wanaokuzunguka...Ninachojua ni kuwa watu wengi ambao wamepitia katika matukio yenye taharuki kubwa kama vita huwa wanaugua kitu kinaitwa " Post Traumatic Stress Disorder ( PTSD)". Hali hii imewatokea sana askari waliopigana Afghanistan, Iraq na sehemu nyingine. Ni hali inatakiwa matunzo bora na tiba, sio kufukuzwa kazi. Kwa vile inaelekea tuna askari wengi wanaorudi kutoka kwenye misheni inabidi jeshi letu likipe uzito suala hili.
Amandla..
Kundolewa Kazini nadhani ni njia pekee iwapo mtu hawezi kufanya kazi yake ipasavyo kama mwanzo..
Nadhani kuondolewa sio kufukuzwa.., unaweza kupangiwa kazi nyingine au kupumzishwa..., kuna kazi nyingine kuzifanya unaweza ukawa hatari kwako na kwa wengine wanaokuzunguka...
Dah... Tutakoma na misamiati, battle confusion inatokea vitani na ni hali ya kupita tu, maana yaake ni kama kupoteza uelekeo hivi, yaani kama kuzima data afu inarudi, sasa hadi huku mtaani tena khaaa!!!!!Leo katika mahojiano ya mtuhumiwa mmoja kwenye kesi ya ugaidi inayovuma limetumika neno "Battle Confusion". Mtuhumiwa ambae alikuwa Komandoo alisema alipotoka Congo kwenye misheni aliambiwa ana " Battle Confusion" na kuondolewa kwenye kazi yake ya uanajeshi. Hili neno sijawahi kusikia ila nadhani linatokana na literal translation ya " kuchanganyikiwa vitani".
Ninachojua ni kuwa watu wengi ambao wamepitia katika matukio yenye taharuki kubwa kama vita huwa wanaugua kitu kinaitwa " Post Traumatic Stress Disorder ( PTSD)". Hali hii imewatokea sana askari waliopigana Afghanistan, Iraq na sehemu nyingine. Ni hali inatakiwa matunzo bora na tiba, sio kufukuzwa kazi. Kwa vile inaelekea tuna askari wengi wanaorudi kutoka kwenye misheni inabidi jeshi letu liupe uzito suala hili.
Amandla..
Imetajwa Mahakamani na mtuhumiwa kesi ya ugaidi. Amesema aliachishwa uanajeshi na wakubwa wake na sababu waliyompa ni kuwa anaugua "battle confusion". Tunajifunza mengi kwenye hii kesi.Dah... Tutakoma na misamiati, battle confusion inatokea vitani na ni hali ya kupita tu, maana yaake ni kama kupoteza uelekeo hivi, yaani kama kuzima data afu inarudi, sasa hadi huku mtaani tena khaaa!!!!!
FactLeo katika mahojiano ya mtuhumiwa mmoja kwenye kesi ya ugaidi inayovuma limetumika neno "Battle Confusion". Mtuhumiwa ambae alikuwa Komandoo alisema alipotoka Congo kwenye misheni aliambiwa ana " Battle Confusion" na kuondolewa kwenye kazi yake ya uanajeshi. Hili neno sijawahi kusikia ila nadhani linatokana na literal translation ya " kuchanganyikiwa vitani".
Ninachojua ni kuwa watu wengi ambao wamepitia katika matukio yenye taharuki kubwa kama vita huwa wanaugua kitu kinaitwa " Post Traumatic Stress Disorder ( PTSD)". Hali hii imewatokea sana askari waliopigana Afghanistan, Iraq na sehemu nyingine. Ni hali inatakiwa matunzo bora na tiba, sio kufukuzwa kazi. Kwa vile inaelekea tuna askari wengi wanaorudi kutoka kwenye misheni inabidi jeshi letu liupe uzito suala hili.
Amandla..
🤣🤣🤣🤣Kitu ambacho sijapenda ni namna walivyopata torture na Policcm
Hawa jamaa ni wapumbavu na kufanya vitu unprofessional
Mateso Kama Yale yanamfanya mtu apandwe wazimu na ukichaa akafanya jambo baya ila bahati Huyo commando mvumilivu Sana aliamua kutii Sheria bila shuruti ila ningekua Mimi ningewavunja viuno hawo vilaza
Nimekumbuka filamu ya Rambo first blood sehemu ya kwanza
Jamaa katoka zake Vietnam jungle kadata na serikali imemtelekeza wakatokea kenge wakaanza kumharasy nadhani walipata majibu
Hawa Polisi wetu wajifunze kufanya Kazi Kwa weledi
Wanaboa!