Chemical yuko vizuri sana na nilipomsikia niliamini haijawahi kutokea demu anachana kama yeye bongo, alipokuja RosaRee na wimbo wake wa kwanza 'One Time' nilimuelewa kiasi, ila still nilikuwa naamini Chemical ni zaidi, ila kwa hili dude jipya la Up In The Air damn nasemajeeee....she is the best. Ila kibiashara Chemical atafanya vizuri zaidi kibongobongo, Rosa Ree swag zake sio za nchi hii hivyo waswahili wengi ni ngumu kumuelewa