Battery za tecno N7

Battery za tecno N7

Joined
Aug 11, 2013
Posts
88
Reaction score
7
Msaada jamani battery za tecno N7 zimetoka?
Na zinauzwa sh.ngap?
Na wapi nitaipata
Kwani sim yangu inasumbua sana battery
 

Attachments

  • 1391938032838.jpg
    1391938032838.jpg
    6 KB · Views: 371
jmn ivi hz cm aina hii zina shida ya betri? nmekaa nayo

mwez mmoja tu betri imekuwa mbovu
 
Smart phones zote betri ni shida, kaa karibu na umeme mda wote
 
nikweli smart phone hasa ukiwa umewasha 3G nimasaa yake kumi
 
Sema kwanza upo wapi je kama upo milima ya likumburu tunakusaidiaje.kama upo dizim nenda mlimani city utapata hiyo betri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom