salam zenu nyote.nna simu yangu ya samsung j2. inazima ghafla hata ina asilimia 50 za betri chaji.
sasa anaejua tatizo anisaidie maana betri ina mwaka 1 na ipo safi tu kimwonekano.
pia labda kama tatizo huenda ni simu au ni betri basi tushauriane.asanteni na Mbaeikie na mola.