Battery ya emachine eM350

Battery ya emachine eM350

julisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
209
Reaction score
50
Habari wana JF

Natafuta battery ya emachine notebook eM350. Ninaweza kuipata wapi hapa Dar?
 
Ndio tatizo kaka la brand hizi..ingekuwa brand popular hisingechukua mda...si mbaya tafuta ukikosa ni sms +971504374387 dubai..ntakutizamia
 
Ndio tatizo kaka la brand hizi..ingekuwa brand popular hisingechukua mda...si mbaya tafuta ukikosa ni sms +971504374387 dubai..ntakutizamia
Asante sana. Huku kuna sehemu wanasema niwape hela halafu wataniagizia and within a week nitapata, sasa nilidhani kuna mtu anajua duka walizonazo hapohapo badala ya kuagiziwa..
 
Back
Top Bottom