Batilda Buriani RC Mwanza

Batilda Buriani RC Mwanza

masikini sitaenda hata bugando kutibiwa huyu mama tenaaa?duh
mna yayehe ndaita omonto
 
Kama ni kweli basi huyu mama huko Mwanza atapata shida sana maana ya Arusha hayana tofauti sana na ya Mwanza
 
Acheni tetesi kama una uhakika tuambie, siyo swala la kuzinguana. Yaan Rock city iongozwe na kilaza aliyekataliwa kwao
 
Mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hii kali mambo yameanza :a s 465:
 
Asije sahau mwanza ni ngome ya chadema iliyomgaragaza Arusha. Na kesi aliyofungua Arusha garama za usafiri mwanza =arusha=mwanza atalipiwa na nani ? au ni VX V8 kwa kodi zetu litaburuziwa?
 
Mkuu nilishawahi kupost hii tetesi.sema kama umecomfirm
 
Back
Top Bottom