Elections 2010 Batilda Aibuka toka ICU hadi Mahakamani...

KAFULIA HUYO.....alikuwa mstari wa mbele sana kumshinikiza Spika amtoe ZITTO bungeni na apigwe adhabu kali...sasa abaki kutazama tu watu wakienda kutetea haki za wananchi wao.
 
ameibiwa wapi? maneno ya mkosaji tu. haya masha, diallo, mongela, ng'umbi na wengine kibao nao wameibiwa? ccm acheni kuwa kama ming'ombe ilokosa mwelekeo. Na safari hii lazima bungeni pachimbike vinaenda vichwa vya kufa mtu, kaeni chonjo. Kusinzia sinzia huku nooooooooooo.
 
duh, huyu bibie atakuwa mjasiri haki ya mungu, katimuliwa vumbi kwa takriban kura 20,000 alaf anataka kwenda COURT????? na wale wenzake waliozidiwa kwa kura 26 waende wapi??? THE HAGUE?????? acha hizo mama. ILA NATAKA KUAMINI SIO KWELI..
 
Huyu mama ni mtu mwenye jazba sana. Namfahamu tangu akiwa pale Tabora Girls' na baadaye Mlimani. Ana hasira za haraka, na bila shaka amefikia huo uamuzi wa kwenda mahakamani kwa jazba tu. Hata kwa mumewe wa ndoa aliondoka kwa jazba tu na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine baada ya kutofautiana kidogo. Tena yule mumewe wa ndoa alikuwa amepanga kumfungilia kesi ya BIGAMY, sijui iliishia wapi?!
NOTE: <BIGAMY is the offence of marrying someone while you have a living spouse from whom no valid divorce has occurred>
 
Wana JF,

Nimepata tetesi kuwa Batilda Burian baada ya kushindwa ubunge na Godbless Lema katika Jimbo la Arusha mjini alienda fungua mashitaka kuwa Chadema walichakachua kura na kupelekea ushindi kwa Lema kwa kura 56,569 dhidi ya mpinzani wake Batilda kwa kura 37,410 tofauti ya kura 19,159.

Kama ni kweli Batilda waenda mahakamni kwa tofauti ya kura kubwa kiasi hicho haiingi akilini bali ni kutaka kule hatari katika jimbo hilo la Arusha.

Kwanza Batilda ulitakiwa utafakali kwani ulishindwa katika kinyang'anyiro hicho?
Mapungufu yalikuwa ni yapi katika uongozi wenu kuanzia kwenye ngazi ya mashina mpaka huku juu?
Au kulikuwa na makundi makubwa na wakakuingiza kingi kwa kula pesa yako huku wakijua fika hutopita kabisa basi tu walifanya hivyo kutekeleza kauli za chama na kumbe hukuwa chaguo lao.
 
Sio mbaya ajaribu tu kufungua hayo mashtaka labda atashinda kesi, hatuwezi kujua labda anajua atashinda. Maskini mama nasikia ana ka mimba kachanga akae akeleee kazaliwe vizuri tu jamani aache kuhangaika.
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tuliomba Mungu amejibu.

nasikia walitaka kumpa lema mil 900 diliikastukiwa na mzee ndesamburo,sasa tuwe makini wanaweza kwenda kupeana pesa huko alaf wakajifanya kuwa wameshinda,maana nasikia lema alitaka kuchukua pesa, yaani bado kidogo acukue diliikaharibika.sasa msishangae kusikia batilda kapewa jimbo kwa stahili hiyo.Tuwe macho hii ni vita
 
Huyu mama ni mtu mwenye jazba sana. Namfahamu tangu akiwa pale Tabora Girls' na baadaye Mlimani. Ana hasira za haraka, na bila shaka amefikia huo uamuzi wa kwenda mahakamani kwa jazba tu. Hata kwa mumewe wa ndoa aliondoka kwa jazba tu na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine baada ya kutofautiana kidogo. Tena yule mumewe wa ndoa alikuwa amepanga kumfungilia kesi ya BIGAMY, sijui iliishia wapi?!
NOTE: <BIGAMY is the offence of marrying someone while you have a living spouse from whom no valid divorce has occurred>

tuweni macho,ule mpango wakumpa lema pesa iliaachie jimbo uliposhindwa sasa wanataka kupeana pesa kwa kisingizio cha kwenda mahakamani iliwakampe lema pesa huko.Jamani sashivi hakuna kulala ccm tuing'oe 2015 maana sio mbali sana kutoka sasa.
 
KAFULIA HUYO.....alikuwa mstari wa mbele sana kumshinikiza Spika amtoe ZITTO bungeni na apigwe adhabu kali...sasa abaki kutazama tu watu wakienda kutetea haki za wananchi wao.

tuweni mcho jamani ccm wanatafuta hili jimbo kwa njia nyingi sana, askari siku zote huwa anakuwamacho tunahitajikufikiria zaidi maana mbinuzao ni nyingi, sisi hatuwezi kupiga kura alaf ccm walinunue.chadema kuweni macho kunahatari ya ccm kuwatumia wabunge wetu.
 
Huyu mama ni mtu mwenye jazba sana. Namfahamu tangu akiwa pale Tabora Girls' na baadaye Mlimani. Ana hasira za haraka, na bila shaka amefikia huo uamuzi wa kwenda mahakamani kwa jazba tu. Hata kwa mumewe wa ndoa aliondoka kwa jazba tu na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine baada ya kutofautiana kidogo. Tena yule mumewe wa ndoa alikuwa amepanga kumfungilia kesi ya BIGAMY, sijui iliishia wapi?!
NOTE: <BIGAMY is the offence of marrying someone while you have a living spouse from whom no valid divorce has occurred>

kumbe anagawa tu kama pipi eeeeeeeeeeee,ok atashangaaa safari hii. sasa kaolewa zanzibar then atamalizia kuolewa monduli.Jamaa wanaitumia wanaicha hapo.Duh! sasa imekosa soko la bungeni.
 
Sio mbaya ajaribu tu kufungua hayo mashtaka labda atashinda kesi, hatuwezi kujua labda anajua atashinda. Maskini mama nasikia ana ka mimba kachanga akae akeleee kazaliwe vizuri tu jamani aache kuhangaika.
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tuliomba Mungu amejibu.

nasikia walitaka kumpa lema mil 900 diliikastukiwa na mzee ndesamburo,sasa tuwe makini wanaweza kwenda kupeana pesa huko alaf wakajifanya kuwa wameshinda,maana nasikia lema alitaka kuchukua pesa, yaani bado kidogo acukue diliikaharibika.sasa msishangae kusikia batilda kapewa jimbo kwa stahili hiyo.Tuwe macho hii ni vita
 
ANAJISUMBUA TU BULE, yaani gepu lote lile aseme, uchaguzi ulichakachuliwa
 
Rugemeleza nimeifurahia sana thread hii. Tunahitaji watu wenye moyo wa kizalendo kama wako. Kule kwetu Iringa Monica Mbega tumwemwambia asubiri U-RC wa kupewa na Mkwere.

Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha

Homeboy..............wana Iringa wamenipa raha mpaka basi....................we acha tu!:smile-big:
 
Kwa kuwa haki hupatikana mahakamani mwacheni aende akajaribu bahati yake. Lililowazi ni kwamba wapiga kura wa jimbo la Arusha mjini wamekwisha tamka kwa sauti kubwa kabisa kwamba YES Bwana Godbless ndio mbunge wao na NO kwa Batlida.
 
Acha aiende tu. Na mahakama iseme uchaguzi urudiwe. Na ukirudiwa tu wapiga kura wanamaliza tena.
 
jamani kwa walio karibu huyu mama anaitaji spiritual delivarance,kwa alie karibu nae kuna kanisa linafungua waliopotea kiroho liko kijenge linaitwa victoria church
plse mpeleekeni huko fasta kaabla amjampoteza naona kwenye ulimwengu wa roho atateseka sana maisha ya mbeleni na kuna dalili alihaidiwa uwaziri akishinda anachofikiria ni kumiss uwazir sio ubunge so anaitaji msaada mkubwa wa kiroho jamani
 
apotelee mbali, kwanza hako kamama kana udini sana. Simpendi kuliko sijui nini sijui. Wana arusha msikubali.

huo udini wa huyo mama kwanza umetokea wapi na wewe ina ushahidi gani. Jamani tuache majungu tujadili siasa na sio kuleta mifarakano ya dini hapa. Hapa hatujadili pumba. Kama huyo batilda anaenda mahakamani tusubiri tuone ila usiingize mambo ya dini.
Kama we pagani / muislam /mkristu juu yako kasali unavyojua wewe.
 
Tena Batilda tunamdai kura zetu alizochakachua; Hivi kura 36000 alizipata wapi. Size yake ilikuwa kura 15000. Hebu athubutu kwenda mahakamani aone kama na zile alizochakachua hajarudisha ili haki itendeke. Hukumu lazima ionyeshe Lema 79000 na Batilda 15,000
 
Watu wengine ni viumbe wa ajabu sana! Inawezekana labda alikwenda kwa sangoma, sijui "Sheh Hayahaya Usoni" akaliwa hela, akalala hukohuko na kuhakikishiwa kuwa atashinda! Mambo yamekwenda ndivyo sivyo haamini kilichotokea, anag'ang'ania ameshinda! Mwambieni akafanye shughuli zingine ambazo hufanywa na mama zetu mitaani za kujitafutia kipato ili apate uzoefu kamili wa maisha ya uswazi! huyo aliye mwambia kazi ni ubunge tu alimmaliza kisaikolojia! Akafugue hata genge la mama lishe atapata wateja tena mpaka wa kimataifa hapo A-Town. Mpeni ushauri nasaha!
 
Back
Top Bottom