Wananchi wamezungumza, yeye hana la kusema wala hana la kufanya. Kama umezoea kushinda unaweza kudhani kuingia kwenye uchaguzi si kushindana bali kushinda. Safari hii na milele daima, watanzania wameamua kuwa wao watakuwa ndio waamuzi wa nani awe kiongozi au mwakilishi wao. Batilda, saini tu hiyo fomu mama!!