Naombeni msaada wa maelezo kuhusu bati za Kiboko migongo mipana ambazo bei yake ni 25,000 kwa bati la mita 3. Nafahamu kuwa habari ya mujini ni ALAF lakini hebu nipeni udadavuzi juu uimara wa bati hizo za kiboko na kudumu kwa rangi. Natanguliza shukurani.
Hizo bati ni Iron sheet coated by zinc, hupauka na kupata kutu ikikwaruzwa sana. Haina maisha marefu. Kama una pesa nunua ALAF kwa vile ni aluminiam sheet coated by zinc, bati kama hilo huuzwa 37500/= huishi maisha marefu kwa vile ni aluminiam.