walisema leo,tuwe wapoleWakuu nauliza tu maana nasikia sikia tu kwa sisi wahanga kuwa wanaweza kuachia wiki hii.
Je, kuna ukweli wa tetesi hizi na je kwa msimu wa mwaka jana walitoa tarehe ngapi?
ahaaa walitangaza kwenye vyombo vya habari au, maana mimi sina taarifa yoyote.walisema leo,tuwe wapole
Jamani hawa bodi ya mikopo watuonee huruma sisi watanzania wa kipato cha chini mwaka jana nilikosa mkopo nikajitaidi nikajichanga nikaenda chuo ila maisha ya chuo bila mkopo yalinishinda nikarudi mtaani nikasema ngoja ningoje mwaka huuu niombe upya nika postpone masomo mwaka huu mpaka sasa batch ya tatu imetoka bado sijapata mkopo sijui hii bodi inampango gani na sisi watoto wa maskini