Bata wapi leo?

Bata wapi leo?

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Wakuu kama inavyofahamika kesho ni public holiday,hivyo si vibaya leo tukijuzana ni viwanja gani leo kuna bata za maana ili tujisogeze kujipongeza.
Kwa kuanzia tu nipo pande za Liquid pub chang"ombe,nijuzewapi kuna bata la maana ndani ya dar niibuke.
 
Wewe mtoa mada form ngap unasoma??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hii Economic Forum, kitu cha kwanza kitakachochoze ubunifu ni kuweka utaratibu wa kupatent ideas, na uvumbuzi. Watu wakijua kuwa wanaweza kufanikiwa wakigundua vitu na si mtu mwingine kufanikiwa basi watajitahidi kufanya utafiti na majaribio. The first project kwa kina mzee Iddi Simba ni kusukuma sheria ya Patent... kwani Patent ni zaidi ya copyright!!!

Kwenye kibanda chao.
 
Show-off tuu huna lolote, utakuta hata mchana ulipiga deshi na jioni unashushia kisheti na juice ya azamu ya mia3.
 
Back
Top Bottom